Sanamu ya bismini yashambuliwa!!!!!!

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Watu wasiojulikana wameishambulia sanamu mashuhuri kabisa katikati ya jiji la da-si-lamu. shambulizi hilo ambalo lengo lake halijafahamika limesababisha kuvunjika kwa singe ya bunduki ya kinyago kile kikakamavu!!!!!!! wakijadili jambo hili, baadhi ya wananchi maeneo ya posta wamelaumu kutokuwepo usalama wa kutosha maeneo husika nyakati za usiku, na wengine wamekejeli eti yawezekana majambazi yalijichanganya kwa kudhani ni askari sniper akalenga kichwa bahati akaikwanyua singe!!!!! Hii ndiyo dar
 
Mimi. Nilishuhudia hilo tukio ilikuwa ilikuwa ijumaa saa tisa mchana. Kichaa alipanda na kuninginia polisi aliye Kuwa. analinda bank akuja na akamweka chini ya ulinzi.
 
Alininginia kwenye singe au aliningiaje
 
Dah mji wa dili labda watu wameshatonywa lile ni sanamu la mjerumani,
si mnajua mambo ya rupia na vitu vya dhamani vya mjerumani?
 
Ingawa siungi mkono uharibifu huo, lakini huwa najiuliza maana ya kuwa na sanamu ile ya mkoloni mahali pale ambapo ndio centre ya jiji. Umaarufu wa sanamu ile umemeza ule wa mnara wa saa. Bado sijajua Bismin alikuwa nani hasa kwa historia ya Tanganyika au Dar es salaam.

Sijajua pia kwanini spelling za neno Dar es salaam zisiwe kwa kiswahili kama Daresalam.

Miaka 50 ya uhuru tumeendelea kukumbatia na kuenzi mabaki ya wakoloni!!!???

Nipeni mwanga hapo nimetafakari kwa muda mrefu lakini sijapata majibu.
 
Askari wa kiafrika aliyepigana upande wa wajerumani, hao ndio kina Kleist, na ndio ukoo uliopigana vita upande wa wajerumani na ndio ukoo wenye historia ndefu na ulioanzisha mapambano ya kudai Uhuru Tanganyika na ndio ulioanzisha vyama vya mwanzo vya siasa Tanganyika, walitokana na askari hao wa kijerumani.

Iliandikwa kiswahili kwa maandishi ya kiarabu. hizo ndizo herufi orijino za lugha ya kiswahili.
 
mkuu hata mm najiuliza huyu Bismini alikuwa nani??

Asante kwa kutuelimisha.
 
One shot for all the Kavirondos,Tanzania Legion members and their families.

One madman doesn't stop the legacy.

bongo unit

polisi+posta.JPG
 
Back
Top Bottom