Sanaa za msafara wa Magufuli kuzuiwa na wananchi

Kweli watanzania wengine ndo maana tuliitwa malofa ukweli hakuna mtu anayeweza fanya mambo kama JMP maana anaonyesha kitu toka moyoni yani angekuwa huyo fisadi mmmh
 
Kwani mkisema Magufuli ameomba kuhutubia wananchi,maandalizi yakafanyika na mkusanyiko ukapatikani itaonekanaje?jamani kampeni zimeisha,sioni tatizo kama mtakuwa wakweli.Hapa ITV nashuhudia habari kuwa Magufuli kazuiwa na wananchi ili ahutubie.Ukitazama mazingira huoni dalili hizo.isipokuwa ni mkusanyiko ulioandaliwa kwa shughuli maalimu

Wewe Okwi Boban Sunzu shida ni nn sasa hebu achana na hayo ya kitoto
 
Kwani mkisema Magufuli ameomba kuhutubia wananchi,maandalizi yakafanyika na mkusanyiko ukapatikani itaonekanaje?jamani kampeni zimeisha,sioni tatizo kama mtakuwa wakweli.Hapa ITV nashuhudia habari kuwa Magufuli kazuiwa na wananchi ili ahutubie.Ukitazama mazingira huoni dalili hizo.isipokuwa ni mkusanyiko ulioandaliwa kwa shughuli maalimu
Hizi habari za magufuli kuhutubia njiani zinawaumiza sana.
Alpokuwa Arusha,alizuiwa zaidi ya mara tatu.
Lowasa kusikia hivyo akapanga mafuriko na yeye dumila..
mtu kama lowassa akilita kijijini kwenu atamjua nani,,lakini ilipangwa eti ionekane kazuiwa na wananchi.Umwambielowassa aache usanii
 
Nyoka lenye makengeza haliwezi pokelewa popote zaidi ya ccm

Wewe Subiri Kufagia Barabara!
Lowassa fisadi leo kawa Kamanda Mpinga Ufisadi
Zitto msaliti leo kawa Mpinzani mshiriki
Kafulila Sisimizi leo kawa mwanaharakati mwenzenu
Wewe jiandae kufagia na Kupiga deki barabara Mwenye chama ndio atajua nani wa kufagiliwa barabara,Ikiwa Chenge utafagia,Ikiwa Membe utafagia.yaan wewe ni Kama Condom hujui utavalishwa kwenye pipe gan?
 
Mie naipenda tanzania yangu kwa jambo moja tu kubwa kwamba sisi sote ni waongo, na ili uongo unoge ni lazima ukubali kudanganywa ili na se ikifika zamu yako ya kudanganya usipingwe.
Kwenye kampeni magufuli alikua akitembea kwenye mikutano yake akiwaahidi watanzania kuwa wakimpa ridhaa ya kuingia ikulu atawanyang'anya mashamba na viwanda waliouziwa na serikali kama ikiwa mpaka wakati huo hawataviendeleza. Leo yupo ikulu wimbo ni ule ule wa ikiwa hawataendeleza watanyanganywa bila kutaja mda wanaopewa kufanya hivyo ni mda gani. Ni wiki , mwezi, miaka au karne?
Mie simo bado acha tu nikubali magufuli kunidanganya maana hata mimi natarajia nije kudanganya kuwa yale makontena elfu mbili na ushee yaliyosemekana kutolopiwa ushuru, nitahakikisha kuwa la kwangu nitajalilipia ushuru na nitafanya hivyo mapema kabla Magu hajamaliza kipindi chake cha urahisi au mapema kabisa tu baada ya urahisi wake.
.
 
Wananchi wanaandaliwa mapema na viongozi alafu rais kazuiwa dààaa wananchi walijuaje mfalme anapita?
 
Hizi habari za magufuli kuhutubia njiani zinawaumiza sana.
Alpokuwa Arusha,alizuiwa zaidi ya mara tatu.
Lowasa kusikia hivyo akapanga mafuriko na yeye dumila..
mtu kama lowassa akilita kijijini kwenu atamjua nani,,lakini ilipangwa eti ionekane kazuiwa na wananchi.Umwambielowassa aache usanii
kama unabisha naweza kukuwekea majina ya watu 10 waliokuwa kamati ya maandalizi ya kukusanya watu .
 
Kwani mkisema Magufuli ameomba kuhutubia wananchi,maandalizi yakafanyika na mkusanyiko ukapatikani itaonekanaje?jamani kampeni zimeisha,sioni tatizo kama mtakuwa wakweli.Hapa ITV nashuhudia habari kuwa Magufuli kazuiwa na wananchi ili ahutubie.Ukitazama mazingira huoni dalili hizo.isipokuwa ni mkusanyiko ulioandaliwa kwa shughuli maalimu
Wewe umeshakuwa mtu mzima!
Wanaposema msafara umezuiwa haiwezakani watu wakawa wamepambana magogo barabarani, hao watakuwa wameomba asipite hapo bila ya kuzungumza nao, haukuwa planned na hivyo raisi amelazimika kusimama kuongea na wananchi! Inawezekana umepangwa leo, au Jana au hata wiki iliyopita Ila point ni kuwa alilazimika kusimama eneo ambalo halikuwa ktk ratiba yaake!
Vinginevyo ktk nchi hii hakuna hata mtu mmoja anaweza kuzuia TINGATINGA likitaka kupita!
 
hivi ile spidi ya yale magari mtu utasismamisha vipi msafara raisi anaingia kwenye propaganda yaani usanii wa kwenye kampeni anauleta hata baada ya kuapishwa kweli magufuri na TISS yake hawajiamini unaona hata ile shangilia ni kelele hata hajaongea kitu watu wanapiga kelele mfululizo na yeye anataja chadema ccm makubwa au bado hajaamini kuwa ni raisi
 
Back
Top Bottom