Mtatamani sana kumchafua sita hamtafanikiwa,
Mtanadi sana mafisadi hamtafanikiwa,
Mtatumiwa sana na mafisadi hamtafanikiwa,
Sita bado atasimama na kuwanyoshea kidole hao mafisadi bila woga
Na siku yao itafika wananchi watamuunga mkono!
Lakini pia mwambie (inaonekana kakutuma) aeleze wana magamba wenzake jinsi alivyoweka mikakati ya kuanzisha CCJ na nia yake hasa ilikuwa nini? na ni vipi CCM itamuamini baada ya usaliti huo mkubwa. Hoja ya ufisadi si ya Sitta na wasaliti wenzake ni hoja ya upinzani iliyozinduliwa pale Mwembe Yanga. Unakumbuka jinsi Sitta huyo huyo alivyomtishia Dr Slaa alipopeleka hoja binafsi ya kutaka suala la EPA liundiwe Kamati maalum ya kuchunguza. Huyu ndiye kweli tunaweza kumuweka upande wa makamanda dhidi ya ufisadi? no way. Yeye amedai ni mtaji wa urais???? kumbe what's behind all his moves ni Urais, kwa hiyo kwake tishio la yeye kuwa Rais ni the so called mafisadi. SITTA NI MSALITI NA MWENYE UCHU WA MADARAKA. Tupende tusipende, tukubali tusikubali, ukombozi wa kweli wa nchi hii uko mikononi mwa CDM na sio hao wasaliti wenu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA