SAMWELI SITTA kuzindua kampeni za CCM.

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Ni Kirumba jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kufuatia kifo cha diwani NOVATUS MANOKO(CHADEMA)aliyefariki mwaka jana.Siku ni keshokutwa saa nane mchana kwenye viwanja vya Magomeni.


Source:Gari la matangazo la CCM
 
Mnafiki mkubwa huyu Urambo imemshinda,wananchi wake ni maskini wa kutupa.
 
SITTA has expired! Is not politically alive. Kama kwa sasa hivi wameshaanza kumrank kwenye ngazi ya Kati obvious by 2014 atazindua chaguzi za serikali za mitaa!
 
Ni Kirumba jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kufuatia kifo cha diwani NOVATUS MANOKO(CHADEMA)aliyefariki mwaka jana.Siku ni keshokutwa saa nane mchana kwenye viwanja vya Magomeni.


Source:Gari la matangazo la CCM

kwahiyo anamtisha nani???
 
Nadhani atauambia umma kwanini Richmond ilizimwa kinyemela(bila kufuata utaratibu) pia atauambia umma kwanini mpaka sasa mapendekezo ya kamati teule ya bunge kuhusu RM hayajafanyiwa kazi.
 
Hivi huyu nae yupo kwenye orodha ya kuadibishwa na white hair..muache aendelee na unafiki wake halafu akipigwa pollinium sijui aje aombe huruma za watanzania...na kwa kweli kwasasa watanzania atuwezi muonea huruma mtu aliyejitakia mwenyewe kama Mwakyembe....
 
afanye anachotakiwa kufanya akianza siasa zake za maji taka hapo magomeni watu hawakopeshi amuulize Nape for reference.
 
Masikini...anaenda kuzindua kampeni za udiwani sehemu ambako kuupata CCM ni ngumu thus wahalalishe kuwa yeye kwasasa ni nguvu ya soda!..ni kama walivyompeleka Anne Kilango kupiga kampeni za udiwani kule Shinyanga mjini, aliishia kusema "huku kweli pagumu, Masele ubunge kweli hukushinda"!
 
Back
Top Bottom