Samwel Sitta na Anna Kilango Malecela kuongoza maandamano Mbeya

Bata bata nyambafu!
Wanahara, bata wanahara na kula hapo hapo,
Thats what ccm behaves!
 
tunawakaribisha sana mbeya angalizo ni hoja zenu tu hatutaki hadithi na mambo ya kujikweza mbele yetu
 
  • kama kweli unalo sema hawa wanapenda aibu tu mbeya kwa sababu;
  • mawaziri walizomewa walipo tumwa kuelezea uzuri wa bajeti pale Ruanda - Nzowe ( Uwanja wa Dr W. Slaa)
  • raia walilala barabarani pindi RAIS JK anapita na walimzomea akaahadi kuunda kamati ya vijana ili kuchunguza kero zao jambo ambalo hadi sasa halijafanyika (hii ilikuwa Mwanjelwa katikati ya JIJI
  • Msafara wa JK ulipigwa mawe Chunya
  • Malecela na Mwandosya walizomewa Uyole walipo kuwa wanamtambulisha Shitambala
  • wameibwaga CCM katika uchaguzi wa mbunge kura 23000 CCM na 46000 CDM
  • MATUKIO YAPO MENGI HAWA WAZEE WAFANYE MAANDAMANO SEHEMU NYINGINE MBEYA WANATAFUTA AIBU BURE
Umesahau tunduma mama jk kwenye kampeni alizomewa wakampitisha njia za vichocholoni naye jk walimpokea kwa kushangilia chadema chadema na kuonyesha vidole kuashilia chadema walikuwa na mwandosha wasome nyakati6 atapokelewa na ccj ccj ccj ccj
 
  • kama kweli unalo sema hawa wanapenda aibu tu mbeya kwa sababu;
  • mawaziri walizomewa walipo tumwa kuelezea uzuri wa bajeti pale Ruanda - Nzowe ( Uwanja wa Dr W. Slaa)
  • raia walilala barabarani pindi RAIS JK anapita na walimzomea akaahadi kuunda kamati ya vijana ili kuchunguza kero zao jambo ambalo hadi sasa halijafanyika (hii ilikuwa Mwanjelwa katikati ya JIJI
  • Msafara wa JK ulipigwa mawe Chunya
  • Malecela na Mwandosya walizomewa Uyole walipo kuwa wanamtambulisha Shitambala
  • wameibwaga CCM katika uchaguzi wa mbunge kura 23000 CCM na 46000 CDM
  • MATUKIO YAPO MENGI HAWA WAZEE WAFANYE MAANDAMANO SEHEMU NYINGINE MBEYA WANATAFUTA AIBU BURE
[/QUOTE Kwani wanataka kuandamana juu ya nini?kama ni kweli basi me nawashauri wakafanyie IGUNGA kule ndio watawapata wengi,wasisahau kwenda na Tsheti,kofia na kanga.
 
Sitta anajichanganya maana walisha mmaliza zamani anakufa polepole siasa
 
Jambo unalo hoji ni personal halina faida kwa Taifa .Mambo haya hufanywa na wana CCM pekee .Ukisema wana JF tuna hoji mimi nakataa nasema ni mwana JF na siwezi kuhoji mambo ya mtu yasiyo na faida .Nadhani sema una hoji mwenyewe kupitia JF .

Safi mkuu nakubaliana na wewe, kweli hatutaki personal attacks. Hatutaki masuala binafsi ya mtu!
 
Is Sitta Confused? Kanyweshwa Ushirikina wa Magwanda!

Sitta destroyed his legacy and lost all of his credibility


SIXLOWASSA.JPG


Kuna usemi unazungumzia wanasiasa wasio na mwelekeo siku zitakuja na watamwagiwa acid. Tunaona matukio na recent revelations kuhusu Sitta na zinaonekana ni za kutisha. Hapo nyuma hata mimi niliusifu huu mkaa kwa hatua zake lakini ilipofika wakati wa kuondoka hiki chama cha wahuni na kujiunga na wenzake CCJ macho yakamtoka. Tunachokifahamu sasa ni history ya siasa, Sitta kachagua kula pesa za wananchi na kuhongwa kama ... hapo ndipo legacy ya Sitta na yote aliyoyafanya kuanza kuzama maji. Maji yenyewe yanaonekana ni marefu sana kwani mpaka sasa amekunywa mpaka posho zinamtokea kwenye masikio. Kweli posho, network za kihuni, ufisadi, nyumba za serikali, magari ya serikali yote haya yamechangia kumzamisha Sitta. Sisi wananchi tunaona wazi vifo vya maskini na wananchi na vita vyetu juu ya ccm, Sitta kachagua ku-take side na wala rushwa ccm. Je huyu Sitta ni binadamu tena au kabaki na magwanda ya ccm?


Former Speaker of the National Assembly, Mr Samuel Sitta, was yesterday alleged to be among leaders behind the formation of Chama Cha Jamii (CCJ).This came to light when the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) cadre, Mr Fred Mpendazoe, addressed a public rally here.Mr Mpendazoe, who was among CCJ founders before crossing over to Chadema, claimed that he was with Messrs Sitta and Nape Nnauye in the plot to dump CCM for CCJ.

While Mr Sitta serves in the current government as the minister for East African Cooperation, Mr Nnauye was recently appointed the CCM publicity and ideology secretary.But, responding yesterday, Mr Sitta said he would not like to comment on the issue until he acquainted himself with what Mr Mpendazoe had claimed.
Mpendazoe: Sitta among CCJ founders


Tuangalie quotes na utumbo anaosema Sitta sasa akiwa ndani ya uhuni:


"Wabunge wa upinzani kazi yao ni kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali, lakini sisi tutahukumiwa na wananchi. Siku zote wapinzani mambo yao ni ya unafikinafiki," alisema Sitta na kuibua zogo zaidi.



http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=32533


Uzee na ujanja wa kihuni uzeeni kweli ni aibu katika siasa na utu wa kitanzania. Hii ndio legacy ya Sitta mpaka atakapo ... na uzee wake, hatuwezi kudhalilishwa na sisi kuendelea kukaa kimya.
 
Hayo maandamano yatajibu kero zetu za maisha?je watatueleza kwa nini mafuta yanapanda hasa ya taa?kwa nini serikali imeshindwa kudhibiti uchakachuaji wa mafuta ya taa wakati wahusika wanajulikana?kwa nini umeme hakuna? Je msimamo wa posho ukoje kwa upande wao?mwisho watueleze ni hatua gani watamchukulia fisadi rostam laazizi?wakijibu haya tutawasikiliza vinginevyo hakuna haja
 
nafikiri hawakukaa na kufikiri,ccm kufanya maandamano mbeya ni kujitafutia aibu,bora wangeanzia tanga!yetu macho!!
 
hivi kwa nini wasiende kufanya haya maandamano msoga au bagamoyo ....Sitta bwana yaani ana ujanja wa kizee na wa kishamba sana..hivi kwa mawazo yake anadhani kuna mtu anamu admire ??? hili zee bana
 
hivi kwa nini wasiende kufanya haya maandamano msoga au bagamoyo ....Sitta bwana yaani ana ujanja wa kizee na wa kishamba sana..hivi kwa mawazo yake anadhani kuna mtu anamu admire ??? hili zee bana

kigogo umepotea sana bana!!mbona kimya muda mrefu
 
Mi sidhani kama Sita anahitaji kulaumiwa kwa lolote maana yeye ni mwanachama wa CCM so ni haki yake kufanya kazi zinazohusu chama chake. Tusubiri labda lipo jambo la maana wanataka kutuambia.
Kingine ni kwamba CDM siyo kwamba ndo chama cha watakatifu ....la hasha.!!! Hata nyinyi mtakapokuja kushika dola siku moja pia mtahitaji wapinzani wakuwaambia mema mliyofanya na mabaya mnayofanya.

Kwa hiyo watawala na wapinzani wote ni wetu na tunawahitaji sana ila tunawapenda wale wenye uzalendo na machungu ya nchi yetu na wenye kuzingatia maisha ya vizazi vijavyo bila kujali rangi au itikadi ya chama walipo.
 
Back
Top Bottom