Samwel Sitta awa PM wa Muda

Hivi katika mazingira kama haya ambapo Waziri Mkuu kakaimisha Ofisi, aliyekaimishwa anapata na stahili ya Msafara wa Vingora?

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Hivi katika mazingira kama haya ambapo Waziri Mkuu kakaimisha Ofisi, aliyekaimishwa anapata na stahili ya Msafara wa Vingora?

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com


mmmh sidhani zaidi ya kubebeshwa majungu, zigo la liwalo na liwe etc mhogo mchungu kasepa, dhaifu wiki ijayo na ye anasepa.... bado bi mkora....hii nchi ina auto-pilot.....
 
Atakaimu kiti cha Bungeni tu ...na sio vinginevyo...ving'ora vyote ameeondoka navyo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tupo naye Songea huku leo..Maaskari wamechafua Barabara zetu kinoma..kifupi amani ilitoweka kwa muda!
 
Hapa songea watu wamejipanga kuuliza kauli ya meneja uhusiano wa tanesco kuwa kufikia tar 30/6 mgao utakuwa historia hapa songea. lakini imekuwa kinyume chake mgao kama kazi. leo nashangaa naona umeme upo sijui wanahofia hilo?
 
Hivi katika mazingira kama haya ambapo Waziri Mkuu kakaimisha Ofisi, aliyekaimishwa anapata na stahili ya Msafara wa Vingora?

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Anaweza kupewa hizo stahili kama akiweza kulia na kutowa machozi ya huruma kwa albino...
Anaweza kupewa ving'ora kama akiweza kutumia maneno ya "Liwalo na liwe"
Anaweza kupewa ..kama atajiita mtoto wa mkulima
Anaweza akafikiriwa kama akitamka Zanzibar siyo nchi ....

Je, ataweza hayo huyu mzee wa viwango vya kupokonywa vyeo?
 
Eddo alipokuwa anajivua u PM alisema tatizo ni uwaziri mkuu!.. sasa ni mara zaidi ya pili kwa mzee Six kukalia hicho kiti, kuna mawaziri wangapi? wangapi tena toka wizara moja na Pinda wapo na wangeweza kumwakilisha vema tuu, napata picha waziri mkuu alietakiwa toka mwanzo ni Six, ila Eddo alitumia nguvu na kujuana na Dhaifu kupata u PM.

Expirience Matters!
 
Back
Top Bottom