Samwel Sitta awa PM wa Muda

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Pinda amesafiri, shughuli za waziri mkuu zinatekelezwa na 6
 
Spika anne makinda amemtangaza samwel sitta kukaimu nafasi ya waziri mkuu bungeni kufuatia waziri mkuu pinda kupata safari, ambayo spika hajaeleza kaenda wapi na kufanya nini. Nawasilisha
 
hatakuwepo mpaka next friday so sita ata kaimu pia maswali ya papo kwa papo .searching.........
 
Kaenda kufanya chekapu ulaya, wakati anaondoka kasema mgomo wa madkatari serikali imajipanga yeye haendi kutibiwa anakwenda kuafanya chekapu tu ulaya.
 
Spika anne makinda amemtangaza samwel sitta kukaimu nafasi ya waziri mkuu bungeni kufuatia waziri mkuu pinda kupata safari, ambayo spika hajaeleza kaenda wapi na kufanya nini. Nawasilisha

Mwana wa mkulima yuiko songea kwa siku 2 kikazi
 
Eddo alipokuwa anajivua u PM alisema tatizo ni uwaziri mkuu!.. sasa ni mara zaidi ya pili kwa mzee Six kukalia hicho kiti, kuna mawaziri wangapi? wangapi tena toka wizara moja na Pinda wapo na wangeweza kumwakilisha vema tuu, napata picha waziri mkuu alietakiwa toka mwanzo ni Six, ila Eddo alitumia nguvu na kujuana na Dhaifu kupata u PM.
 
Back
Top Bottom