Samwe Sitta! Tumekukumbuka!!!

Gudlucky

Member
Feb 9, 2011
22
1
Uwepo wako kukosekana katika kiti cha Spika wa bunge kumeonesha mapungufu mengi sana! Hekima zako, busara, utulivu na umakini katika kuendesha shughuli za bunge ndizo hasa zinatufanya tukumbuke umahili wako katika nafasi hii ya usipika! Uwazi na Ukweli pia haki ulivyokuwa navyo vilisababisha bunge kuwa na mafanikio makubwa! Sasa, sijui kwa namna ya sasa kama tutafika! Sijui!
 
Ride natty ride -dready(cdm)got a job to do,he hv to fulfill his mission,no matter what they say,no matter what do,but we hv to suvive in this world of competition...................all in all you see is to fight against our party(unity via cdm),....no wonder we hv something they cannot take away_and thats is our cemmented unity goes by the name "peoples power'

Believe it man,we are going to conquer the battle.............God is in control
 
Mzee wa speed na viwango................. Mama kaanza vibaya kama sura yake......
 
Mzee wa Viwango nna mmis mnoooo dah kweli Bongo zaidi ya uijuavyo lkn ipo siku
 
nadhani 6 anaumia rohoni kuliko sisi tunaom miss. jana nilimuona alivyokuwa anashangaa jinsi wabunge wanavyofanya mambo ya kitoto nadhani alikuwa anaumia sana. Kwa mtazamo wangu sidhani kama azimio lililopitishwa jana lingepitishwa kama 6 angekuwa spika
 
Uwepo wako kukosekana katika kiti cha Spika wa bunge kumeonesha mapungufu mengi sana! Hekima zako, busara, utulivu na umakini katika kuendesha shughuli za bunge ndizo hasa zinatufanya tukumbuke umahili wako katika nafasi hii ya usipika! Uwazi na Ukweli pia haki ulivyokuwa navyo vilisababisha bunge kuwa na mafanikio makubwa! Sasa, sijui kwa namna ya sasa kama tutafika! Sijui!

Ni kweli
 
ila tulisha elezwa kuwa mama yupo pale kwa ajili ya kikundi cha watu wachache ingawaje alilikana hilo sasa yajionyesha wazi
hatutafika
msema ukwelii hapendwiii daimaaaa
 
Uwepo wako kukosekana katika kiti cha Spika wa bunge kumeonesha mapungufu mengi sana! Hekima zako, busara, utulivu na umakini katika kuendesha shughuli za bunge ndizo hasa zinatufanya tukumbuke umahili wako katika nafasi hii ya usipika! Uwazi na Ukweli pia haki ulivyokuwa navyo vilisababisha bunge kuwa na mafanikio makubwa! Sasa, sijui kwa namna ya sasa kama tutafika! Sijui!

:clap2:sure,,,huyu pupet wa CCM waliyemuweka sa hive ataiona miaka mitano kama millenium tano!!!:clap2:
 
Kwa yaliyotokea jana bungeni 6 atakumbukwa sana kwa kulijengea bunge lililopita heshima sana.
 
He is stiil in the house and the contribution he can make is still there ...and nobody can privent him doing so inside the house or outside!!
 
Huyu mama spika alipoamua kuchukua form bila kumshirikisha mkuu wake ambaye alikuwa sita kulinifanya niamini moja kwa moja kwamba ana nia na dhamira chafu. Hivi hawa mafisadi waliona wanawake ni dhaifu ndo maana waliamua kumtumia huyu mama??? Ama ni mshirika wao katika ufisadi??? Huku si ni sawa na kuonyesha dharau kwa mwanamke.. Kwa nini walimweka huyu mama na si mwanaume???? spika wa sasa anonyesha wazi ukandamizaji na uonevu esp kwa chadema hata mtoto mdogo akiangalia bunge ataelewa hilo. Tofauti kabisa na 6 alivyokuwa.. Kweli CCM sio chama cha kuleta maendelo bali kulinda maslahi ya wezi... Lkn hakuna marefu yasiyo na ncha.. iko siku.... yanayotokea Misri wanayafumbia macho.. we ngoja..
 
nadhani 6 anaumia rohoni kuliko sisi tunaom miss. jana nilimuona alivyokuwa anashangaa jinsi wabunge wanavyofanya mambo ya kitoto nadhani alikuwa anaumia sana. Kwa mtazamo wangu sidhani kama azimio lililopitishwa jana lingepitishwa kama 6 angekuwa spika
Gurudumu haya ni kweli kabisa, mwanzoni nilimiona SS anasmile mambo yalivyozidi kumwendea kombo Mama Anna, SS akabaki kufadhaika. Mama Anna analiendesha bunge kwa overconfidence ambayo ni dalili ya lack of confidence ila tatizo kubwa la Mama Anna ni kule kukosa authority na kuuacha ukumbi wa bunge ugeuke uwanja wa mipasho na msuto!.

Hata mimi nilimkumbuka SS angekuwepo asingeachia upuuzi uliofanyika jana ufanyike. SS ali command respect ya wabunge wote. Respect is earned, Mama Makinda bado hajaiearn hiyo respect hivyo wabunge wanandharau waziwazi na yeye mwenyewe akajidharaulisha!.
 
Back
Top Bottom