Samuel Eto kuanzisha mtandao wa simu za mkononi

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
mchezaji wa kimataifa wa Cameroon antarajiwa kuanzisha mtandao wa simu za kiganjani nchini kwao ambao umelenga pamoja na mambo mengine kupunguza gharama za matumizi ya simu,hivyo ndivyo wanafanya wenzetu,huku kwetu watu wahifadhi pesa kwenye mabenki ughaibuni kweli?this link below has more information on this matter!
www.difining2morrow.blogspot.com Africa(Tanzania rethinking)
 
Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.

Sku zingine mkuu sjui huwa unaamka vp!..hahahahaaa. We unafkir anaropoka tu, kitu kiko hewani tayari! Kibiashara investment kubwa kama hiyo kutoa pesa zote wewe haiwaki, kuna pesa kibao kwenye mabenki hazina kazi ni za kuchukua tu, alimradi wajiridhishe kuwa mradi wako utalipa, na uwahakikishie usalama wa pesa yao mambo yakienda ndivyo sivyo!

Set'Mobile was launched on Thursday in Yaounde with more than 50,000 SIM cards already sold out, but the network will be activated on January 21, which is the opening day of the 2012 Africa Cup of Nations, the entity's management said.
With a capital base of 100 million francs cfa (€152,449), Set'Mobile, which also bears the initials of the famous Anzhi striker, is intended to provide mobile Internet service alongside telephony.
The market penetration for mobile network in Cameroon is currently at 49 per cent below the fast growing rate of 75% in Cote D'Ivoire, Senegal and Ghana, which local observers see as enough room for the survivability of Eto'o's new venture against stiff competition from giants Orange and MTN.
Eto'o is serving out a 15-match ban after he was found guilty by the Cameroon FA disciplinary committee of instigating a strike action that botched up a friendly match against Algeria on November 15.
The players said the action was to protest against the non-payment of match bonuses and a dysfunctional system.
The 30-year-old four-time African footballer of the year had declined to appeal the ruling and will likely miss much of the Lions' qualifying campaign for the 2013 Afcon and 2014 World Cup.
source:goal.com

TOMASO?

 
Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
arifu dogo ameanza kulamba mkwanja mrefu long kitambo.....na kwa sasa ndio foootie bola anaelamba mkwanja mrefu kuliko woote duniani....

capital ya mtandao huu ni yuro152,449 na dogo per week anakunja shilingi za kwa bibi 350k
 
anaweza na mabenki yamewekwa ya kazi gani mkuu..
Sio benki tu......anaweza kwa pesa yake....analipwa paound zaidi ya laki 3 kwa week....na hicho ki mobile coy kinatumia yuro 152,000 kama mtaji ....
 
Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
mkuu napingana na wewe unajua huyu jamaa analipwa kiasi gani???

unajua kua ndo mchezaji anaeongoza kwa mshahara wa juu kuliko wote duniani???

mshahara anaolipa yule bwana kwa mwezi ni bajeti ya nchi fulani fulani,sijui ka unafahamu hayo yote.
 
Back
Top Bottom