SAMSUNG vs NOKIA

camera technology and the desgned tattoo that vibrate when someone call you. Sidhani kama kuna simu itashindana na Nokia hasa Nokia 808 the pureview katika hvyo vitu.
 
Mkuu kila kitu kina qualitiy yake samsung ni ngumu kutumia ila ina applications nyingi,Nokia ni rahisi kutumia ila ina application chache.....zamani nilipenda nokia ila kwa sasa napenda samsung
 
ni juzi tu nimesoma doc nimesahau nimesoma wapi,kwamba baada ya almost a decade ya nokia kuongoza soko la simu kwa mara ya kwanza samsung au zamzungu kama waluguru wanavyoita sasa inaongoza duniani!
 
yaani mi natumia haka ka-samsung ka bei rahisi kanaitwa samsung player star 2 ni katamu mno sasa najiuliza hao wanaotumia hayo ma galaxy ya mahela mengi watakuwa wanafaudu kiasi gani!nadhani samsung iko juu!
 
Acha kabisa yaani kama galaxy S 2 ni monstar bana speed balaa.
 
@all people nataka kufunga hapa...vip kuna mteja wa nokia ana jipya mpaka sasa?...naona SAMSUNG bado anaongoza!...nawasubiri!...pia naomba tuongelee matoleo mapya zaidi...
 
kumbe unajua... Ila nn cm n cm, mrad unapatkana af kzur n kzur chenye ubora n bora so CONNECTING PEOPLE n cha ubora...

leloch u sound like you want to salute samsung...au ni mm tu na wenge langu!
 
Last edited by a moderator:
Lakini hii THREAD siielewi nikiangalia kwenye post mpya siioni hatakama mtu umepost muda huo huo inakuwa ngumu kuipata mpaka uingie kwenye posted by you then uiselect kwanini ?
 
Lakini hii THREAD siielewi nikiangalia kwenye post mpya siioni hatakama mtu umepost muda huo huo inakuwa ngumu kuipata mpaka uingie kwenye posted by you then uiselect kwanini ?

sijakusoma fresh hapo ThinkPad...mbona mm naipata fresh!
 
Last edited by a moderator:
Wewe! acha utani kabisa mm nilikuwa naitafutia kwenye new post.
Siunajua hii galaxy ina display kama pc.
kumbe thread haipo kwenye new post.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom