SAMSUNG vs NOKIA

shem kufanyana ndio nin? Haujambo lakini shem wangu? Karibu home wkend.

ntakaribia...VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Husninyo...hujui kufanyana sio...?ntakuletea picha nikija...gari yangu sijaiinua,ivi hapo kwenu pamekuwaje na hii mvua?
 
Last edited by a moderator:
unajua samsung hazna adobereader, microsoft office n etc. That y ilove nokia... Mina 2mia nokia e52 naiuza nanko kwny mpango wakuhamia nokia e72..

leloch utataka iwe na hotel sasa!..loh
 
Last edited by a moderator:
ntakaribia...VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Husninyo...hujui kufanyana sio...?ntakuletea picha nikija...gari yangu sijaiinua,ivi hapo kwenu pamekuwaje na hii mvua?

kweli shem sijui, hapa kwetu matope hadi mlangoni ila bro wako ana mpango wa kutuwekea lami hadi vyumbani.
 
Last edited by a moderator:
unajua samsung hazna adobereader, microsoft office n etc. That y ilove nokia... Mina 2mia nokia e52 naiuza nanko kwny mpango wakuhamia nokia e72..

Jamani muwe mna google vitu vingine jamani mko wapi ?

Mimi Samsung yangu inafanya mambo mengi sana mfano, Naweza weka usb hub nikaunga keyboard, mause na nikaweka flush disk nikafanya kila kitu,

Adobe ipo, Mozilla firefox ipo office ipo tena nzuri sana

Battery nzuri ina mAh 1650 alafu kuna kasha zake zinakuwa na battery kwa ndani yenye mAh 2000 jamani hivi mnataka nini katika simu ??

ukitaka kucopy kitu chchote wewe unaweka flush simu inasoma then kama ni file unacopy.

Samsung imechukua Cake yote.
 
NOKIA mwisho wa mambo.

@ Kichwat Bora ungesema iphone kuliko Nokia,

Samsung does what it say! achana na toys (Nokia na iphone) mimi nilikuwa mbishi kama wewe lakini nilipojaribu kutumia samsung kweli ndio simu battery nzuri katika speed ya kazi au internent Samsung ni Monster :frusty: hauwezi kwama.

Karibu sana.
 
unajua samsung hazna adobereader, microsoft office n etc. That y ilove nokia... Mina 2mia nokia e52 naiuza nanko kwny mpango wakuhamia nokia e72..

Hiyo Samsung lazima itakuwa ya mchina!! Ninatumia Samsung na ina mambo yote unayosema haina.
 
samsung ipo juu hta me ndo naitumia kupata internet...

samsung imecmama wangu! kumbe nawe umeona eeh...

Unajua nini, Nilikuwa natumia Nokia smart phone, nkaja iphone, nkarudi nokia, Nkaona ni uzushi nkawa na blackberry 9070 bold na htc wildfire s ikawa na matatizo yake mfano bb ikawa slow alafu kila mwezi au 2 month unakuta wanatoa update ambazo hazina umuhimu speed ndogo ya simu mpaka mtu usubiri haya wildfire s na yenyewe yaani ka screen kadogo alafu battery ina drain haraka pia kanachemka ukifungua app nyingi Unajua nilifanya nini ?

Nilizichukua hizo simu mbili nkaenda kuziuza zote bb na htc nkanunua Samsung galaxy s 2 na Samsung galaxy GT B 5512 PRO hii ipo kama blackbery ila ina kila kitu mpaka front camera android duo sim card wifi, wifi hot spot screen touch trackpad ina qwerty keyboard alafu ina ac yakuweza kupoza chumba kimoja kidogo :tape2:..
 
ina traveler..? Ambayo ipo kwenye nokia e52, e55 n e72..?
ina zaidi ya traveler ...kitu kinaitwa Sygic hii inakuelekeza kila hotel tena inakwambia pita hapa baada ya mita 100 katakona ingia kulia then hotel uliokuwa unaitaka ni hiyo hapo mbele yako. ila inasema kwa kidhungu sio kiswahili yaani ni balaa
 
thnkpad,cjakuona ck nyng. kumbe nwdays una kitu galax. dah ntakutafta nione kt kipya! hahahaaa.
 
ina zaidi ya traveler ...kitu kinaitwa Sygic hii inakuelekeza kila hotel tena inakwambia pita hapa baada ya mita 100 katakona ingia kulia then hotel uliokuwa unaitaka ni hiyo hapo mbele yako. ila inasema kwa kidhungu sio kiswahili yaani ni balaa

ThinkPad mambo ya direction sio?...napenda ile inaonesha current location ya mtu...ni noma ati...
 
Last edited by a moderator:
mpaka sasa samsung wanakimbiza soko mbaaya!... na mshambuliaji hatari ThinkPad nokia vip sera zimeisha?
 
Last edited by a moderator:
Unajua nini, Nilikuwa natumia Nokia smart phone, nkaja iphone, nkarudi nokia, Nkaona ni uzushi nkawa na blackberry 9070 bold na htc wildfire s ikawa na matatizo yake mfano bb ikawa slow alafu kila mwezi au 2 month unakuta wanatoa update ambazo hazina umuhimu speed ndogo ya simu mpaka mtu usubiri haya wildfire s na yenyewe yaani ka screen kadogo alafu battery ina drain haraka pia kanachemka ukifungua app nyingi Unajua nilifanya nini ?

Nilizichukua hizo simu mbili nkaenda kuziuza zote bb na htc nkanunua Samsung galaxy s 2 na Samsung galaxy GT B 5512 PRO hii ipo kama blackbery ila ina kila kitu mpaka front camera android duo sim card wifi, wifi hot spot screen touch trackpad ina qwerty keyboard alafu ina ac yakuweza kupoza chumba kimoja kidogo :tape2:..

ayaaaa hapo kwenye galaxy y pro...uwiii...touch na qwerty...what a fon!...
 
mpaka sasa samsung wanakimbiza soko mbaaya!... na mshambuliaji hatari ThinkPad nokia vip sera zimeisha?

kaka kelele zimeisha watu wa Nokia na iPhone wamefyata mazima mkorea ni noma mfano mdogo ni kitu galaxy S 2 inaitoa jasho iphone 4 s ambayo ni lattest je tukiweka kitu galaxy s 3
 
Last edited by a moderator:
ayaaaa hapo kwenye galaxy y pro...uwiii...touch na qwerty...what a fon!...

Kaka nkubwa hiyo simu ni bei ndogo alafu inakila kitu. bettery life bomba yaani touch utatumia trackpad na qwerty.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom