SAMSUNG vs NOKIA

Watu wengi tutaikubali nokia coz % kubwa ya wa tz tunatumia nokia lakini kule kwenye jukwaa la teknolojia kuna mada inazungumzia matoleo ya simu 10 bora 2011-12. Samsung inaongoza nokia yeyote unayoifahamu haipo kwenye 10 bora.
 
ni kweli mdau. Lakini chati za majuu haziko compatible sana na mazingira yetu WALAJI.
Mfano: waambie Precision kuhusu ndege 10 bora duniani.
 
EBENEZA MT....asante bana...nasikia samsung wameteka soko sana...wana visu vya ukweli...nasikia muonekano wake bomba...nokia wana kipi kipya?...au ndio ile watu wamezoe iyo brand name?na hawataki kujaribu taste zingine...?
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mdau. Lakini chati za majuu haziko compatible sana na mazingira yetu WALAJI.
Mfano: waambie Precision kuhusu ndege 10 bora duniani.

teh!teh!.. kichwat huko kwenye ndege unajitaftia ka-BP!
 
Last edited by a moderator:
"pamoja na kwamba ni nzuri"...hebu tupe hapo unaongelea uzuri gani ofisa

gusa symbian 60 v 3 na uone kuanzia cover material ,imara na standard ,
display nzuri na zina themes nyingi sana ambazo kwenye samsung sizionagi halafu msingumzie android ambazo zinafana na HTC kwani bosi wao ni goolge na ndio maana net yao na goolge map ipo juu,ok turudi nokia
ni imara na zinasaport mambo kibao mpaka mwisho na ukweli wapo muda mrefu kwene game ushawahi tumia nokia E 6
 
Last edited by a moderator:
Zote nimetumia lakini nokia naipa saluti. Chamno kwenye product za nokia ni kwamba ni rahisi kutumia. Inanjia za mkato nyingi utumiapo
 
samsung ni noma kuanzia internet, camera, dictionary, for me samsung is the best...nokia mizinguo.
 
Watu wengi tutaikubali nokia coz % kubwa ya wa tz tunatumia nokia lakini kule kwenye jukwaa la teknolojia kuna mada inazungumzia matoleo ya simu 10 bora 2011-12. Samsung inaongoza nokia yeyote unayoifahamu haipo kwenye 10 bora.

hapa mkuu umeongea ukwel mtupu.
 
World official handset ni NOKIA asikudanganye mtu BAGAH !
Habari ndiyo hiyo! Umeuliza short reasons
3 quater of states leaders wana'use hiyo makitu (NOKIA)
Ni easy kuitumia kuliko 4ne yeyote duniani.
Ukisafiri kwenda kokote huna haja ya kubeba chuger, coz ni aghlabu sana ufike kwenye nyumba yeyote pakakosekana NOKIA user.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom