Mi natumia kilongalonga cha Nokia C 6 -00... Kipo poa.. Screen ya ukweli kama laptop.. Samsung.. Labda kidunia ndiyo iko juu...
mpaka sasa nokia wanaongoza...ila haina maana samsung sio wazuri...nawasubiria wateja wa samsung waje kumwaga sumu zao hapa!
andriid system ya samsung sijatumia ila samsung sizikubali pamoja na kwamba ni nzuri lkn hazisuport maaplication niliyozoea kwenye nokia mfano dictionary tofauti,games za ukweli mpaka gta au need for speed ,mp3 player tofauti kama juke box na nyengine nyingi kiasi cha kufanya overaping ya miziki
wewe ndugu wewe umepotea sasa samsung ina support games mpaka 2 gb kama ni issue ya movie unacopy dvd direct bila hata ku convert file yaani kitu kina uwezo wa pc.