Samsung tv 29"

kaygeezo

Senior Member
Jul 31, 2008
193
10
Hi,
Nauza TV yangu SAMSUNG 29'' flat( ina kachogo kadogo sana) ,nilinunua nov 2009. Bei 500k(negotiable)
kama upo inetrested,
+255754964911
kaijage@live.com
Karibu
 
Mimi ningependa kujua ni kwanini unaiuza? Hiyo bei sio realistic maana kwa sasa unaweza kupata hiyo TV brand new kwa 480,000
pale mtaa wa Uhuru. Mimi nimenunua moja wikiendi iliyopita. Punguza bei kama uko serious.
 
More data required: LCD, HD au "box la nyuki", je imezaliwa china /korea au arabuni? . Kama ni "box la nyuki" hiyo laki tano ni mbali sana rudi chini labda TZS 250,000.
 
Nimenunua TV nyingine kubwa kidogo 32'' ,nipo serious ,hiyo 480,000 nina uhakika sio kama yangu ,yangu dukani ni 550-600. i bought it @670k
Thanks
 
More data required: LCD, HD au "box la nyuki", je imezaliwa china /korea au arabuni? . Kama ni "box la nyuki" hiyo laki tano ni mbali sana rudi chini labda TZS 250,000.
Sio box la nyuki. Sio mtaalam sana katika Technologies za TV. I'll attach some photos
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom