Samsung tv 29'' inauzwa

kaygeezo

Senior Member
Jul 31, 2008
193
10
RANGI NYEUSI
CHOGO NDOGO
MODEL TYPE:CS-29Z50MH
TYOE: KS7C29Z50
(UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE)
PICHA CHACHE NIMEATTACH
HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA
HAINA TATIZO LOLOTE
IMETUMIKA MWAKA 1
BEI 400,000TZS
KUIONA BURE! :A S 465:

0754964911
kaijage@live.com
 
Attachments

  • A9RB4E9.PDF
    94.1 KB · Views: 102
  • A9RB4F2.pdf
    110.7 KB · Views: 181
Kayjage,naomba kama ikikosa mnunuzi nifikirie kwa 200K TSHS. i.e naomba niweke kwenye waiting list. Asante.
 
Kayjage,naomba kama ikikosa mnunuzi nifikirie kwa 200K TSHS. i.e naomba niweke kwenye waiting list. Asante.

wateja wapo wengi wananipigia simu...na leo kuna watu wameiangalia...sema offer yako ipo chini sana.....
 
RANGI NYEUSI
CHOGO NDOGO
MODEL TYPE:CS-29Z50MH
TYOE: KS7C29Z50
(UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE)
PICHA CHACHE NIMEATTACH
HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA
HAINA TATIZO LOLOTE
IMETUMIKA MWAKA 1
BEI 400,000TZS
KUIONA BURE! :A S 465:

0754964911
kaijage@live.com

Kwa nini unaiuza?nashindwa kuelewa umeletwa kutoka dubai Used,umekuja Tz umetumia sasa mzigo unauzwa kwa mtu mwingine baada ya mtumiaji kuuchoka.
Nawapenda sana wachina they are too cheap
 
Kwa nini unaiuza?nashindwa kuelewa umeletwa kutoka dubai Used,umekuja Tz umetumia sasa mzigo unauzwa kwa mtu mwingine baada ya mtumiaji kuuchoka.
Nawapenda sana wachina they are too cheap

Nimekuwa nikitaka kwenda kwenye ukubwa zaidi...just sold it added some few bucks n bought a 42" SERIES 6 samsung...
Thanks wadau
 
Nimekuwa nikitaka kwenda kwenye ukubwa zaidi...just sold it added some few bucks n bought a 42" SERIES 6 samsung...
Thanks wadau

Kma hyo TV umeiuza kwa laki 4 kwel wewe mwanaume! Mm nisingeweza kulipa zaidi ya 2.8K, wallah! 4k UNAWEZA kupata LCD/LED ya ukubwa huo kutoka ebay!
Usichukulie personal mkuu.
 
Kma hyo TV umeiuza kwa laki 4 kwel wewe mwanaume! Mm nisingeweza kulipa zaidi ya 2.8K, wallah! 4k UNAWEZA kupata LCD/LED ya ukubwa huo kutoka ebay!
Usichukulie personal mkuu.
Asante hata mimi next time nitaagize ebay badala ya kununua hapa bongo!
 
Labda siyo Multi System, kwa bei hiyo e-bay hawauzi. Mbaya zaidi hawapokei hizo credit cards za Kibongo na hata wakipokea gharama za kusafirisha ni sawa na kununua hiyo ya Amoeba. Hata ukimudu kusafirisha, ikiingia bongo ushuru wake ni sawa na hiyo 400,00... Wapi na wapi bwana? E-bay ni ya wenyewe bwana, wabongo hatujafika huko???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom