Samsung s1030 10.3 megapixel digital camera for sale

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Imetumika lakini ipo ktk hali nzuri na inafanya kazi.

-Rangi ni silver
-Megapixel 10.3
-Optical zoom 3x
-Screen size 2.7"
-Model S1030 P1000060.JPG P1000067.JPG P1000066.JPG
Camera bado ipo uingereza nategemea baada ya wiki moja au mbili itafika.Camera nauza pamoja na Battery za ku-charge au kama huna charger unaweza kutumia battery za kawaida za AA.Bei yake ni Tsh 85,000 naomba uwasiliane na Habibu 0717810318.
 
@Jaslaws..Samahani sana sitoweza kupunguza zaidi ya 80000 kutokana na bei niliyonunua pamoja na kuituma inakuwa bei juu sana lakini kiuhakika Camera ni nzuri sana.
 
kama betri sio za kuchaji huwezi kuitumia utakuwa ukipiga picha moja basi mchezo umeisha
 
i pad3...Hizo Betri ni za kuchaji na ni mpya lakini camera haitokuja na chaja kwa hiyo itabidi uwe na chaja na hata kama huna chaja vilevile unaweza kutumia betri za kawaida AA.
 
Imetumika lakini ipo ktk hali nzuri na inafanya kazi.

-Rangi ni silver
-Megapixel 10.3
-Optical zoom 3x
-Screen size 2.7"
-Model S1030View attachment 49599View attachment 49600View attachment 49601
Camera bado ipo uingereza nategemea baada ya wiki moja au mbili itafika.Camera nauza pamoja na Battery za ku-charge au kama huna charger unaweza kutumia battery za kawaida za AA.Bei yake ni Tsh 85,000 naomba uwasiliane na Habibu 0717810318.

Ndugu mbona umepotea ghafla kulikoni!
 
Mkwanga...Samahani sana Camera imepata mnunuaji hata hivo 75000 hailipi ndugu yangu.
 
Stephote....Sijapotea nipo natafuta mzigo nambie?????

tuliongea kuwa ungenipigia simu mara baada ya camera kuwasili nikaona kimya and finnaly maelezo ni kuwa camera ishauzwa,anyway ukipata nyingine nijulishe i need a digital camera at a resonable price.
 
Stephot..Samahani ndugu yangu kwasababu watu wengi walinitumia PM na wengine walipiga simu,lakini natafuta nyingine usijali.Nikipata mzigo safari hii naona nikishautuma ndio nitaanza kuutangazia kwasababu inakuwa ni usumbufu kwa wengi.Pole sana na nakuahidi nitaleta nyingine soon.
 
Mendeo...Sasa hivi sina still camera ila ninayo Camcorder tu ambayo ni JVC na inatumia hard drive ina 30GB ni nzuri sana na bei yake ni Tshs 500,000.Kama unataka still Camera nitaleta mwisho wa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom