Samsung LCDTV 22 series 4 400 inauzwa

Mkuu iyo kitu iko ivo ivo kama ilivyoelekezwa,kabla ya kubeba mzigo lazima utestiwe ili usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia.
 
LCDTV 22 series 4 400 iyo 22 ni saiz mkuu,achana na picha kama uko serious ni PM nikuelekeze wapi uje uione yenyewe. picha naweza nikaweka sio yenyewe...
Kama ni kuiona ntapata nafasi j,mosi maana kwa sasa natoka work too late mkuu.
 
Samsung LCDTV 22 series 4 400 inauzwa 200,000/= Ni original na ina HDMI imetumika kama mwezi tu. Kwa aliye interested na yuko Dar ani PM.

mkuu hiyo kitu ni flat tv!??.. Samahani lakini..
 
Da Inchi 22 ni kama monitor,si mbaya ukiweka chumbani kwa ajili ya kuangalia na shemeji kwa maana siku hizi kuangalia TV sebuleni na watoto kwa tunaojiheshimu inakuwa balaa ,maake kuna matangazo ambayo inabidi ukae na remote wakati wote na bahati mbaya utakuta remote imeshikwa na kijana,na hana wasiwasi na yanayoonyeshwa kwenye matangazo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom