Samsung gt-s5230 msaada unahitajika

SIM

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
1,795
1,300
Wakubwa wadogo tulio rika kwanza kabisa HESHIMA MBELE. wanajamvi mimi natumia Simu sumsung gt-s5230 tatizo lilipo nikwamba ninapotaka kudownload application inakataa nakuleta ujumbe CONTENT NOT SIGNED au NO RESPONS. tatizo hili limeanza baada ya kuiflash hapo mwanzo ilikua inainstal bila tatizo. nini suluhisho la tatizo, nisaidieni kwani naimiss sana JF
 
Kwa nin uli-flash hapo ndo umebug ukflash phone quality inakufa au inapungua
 
Kwa nin uli-flash hapo ndo umebug ukflash phone quality inakufa au inapungua

ilifikia mahali ikawa haifunguki internet kabisa nikaenda ofisi za mitandao ya simu wakaniambie nikitaka niendelee kutumia internet lazima niflash.
 
Back
Top Bottom