samsung galaxy ........

Achahasira

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,213
214
waku nauza samsung galaxy ace ipo poa sana.nimetumia wiki mbili tu.inakila kitu na boxi nakupa na memory 4 gb.

bei 450000

piga namba hii 0719223225
 
wakuu bado dauuuu jamaa aetowa 400000.namwambia ongeza kidogo

kwa yeyote yupo dar au iringa ataipata ndani ya siku nne.
 
Ok,
Tumalize Biashara kwa 380,000/=.
Otherwise naenda Mlimani City muda huu
 
nimeshauza wakuuuu

mbona munasumbua achakupiga simu

sold sold sold sold sold sold sold sold

SOLD
 
waku nauza samsung galaxy ace ipo poa sana.nimetumia wiki mbili tu.inakila kitu na boxi nakupa na memory 4 gb.

bei 450000

piga namba hii 0719223225

dah umeuza na box lake?mm nilikuwa nahitaji hlo box maana kwnye post yake inaonesha nalo linafanya bei iwe hyo
 
dah umeuza na box lake?mm nilikuwa nahitaji hlo box maana kwnye post yake inaonesha nalo linafanya bei iwe hyo

siunajua tena wabongo tukiona boxi tunaamini kitu ni kipya kama hamna wanasema used.
 
nimeshauza wakuuuu

mbona munasumbua achakupiga simu

sold sold sold sold sold sold sold sold

SOLD

mkuu yaani kwavile umeshauza ndiyo unaona unasumbuliwa, mimi nadhani hii ndiyo ingekuwa fursa nzuri ya kuitangaza biashara yako kwasababu tayari wateja wanawasiliana na wewe

duh ! haya bana
 
mkuu yaani kwavile umeshauza ndiyo unaona unasumbuliwa, mimi nadhani hii ndiyo ingekuwa fursa nzuri ya kuitangaza biashara yako kwasababu tayari wateja wanawasiliana na wewe

duh ! haya bana

sina mizigo nitauza nini tena mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom