Samsung Galaxy tab Vs Samsung Galaxy Note

longalonga

Member
Aug 22, 2007
17
2
Wakuu naombeni msaada kwa wale ambao wamewahi kutumia galaxy note na galaxy tab, nimekuwa nikitumia ipad 2, lakini kuna features nyingi ambazo nakuwa limited kuzipata including flash player, nimemwagiza jamaa yangu yuko aninunulie tablet ya samsung, akaniuliza nataka galaxy note au galaxy tab, tafadhali mliowahi kuzitumia nijuzeni tofauti zake ili nifanye uamuzi, asanteni sana.
 
kama wewe ni mpenzi wa screen kubwa nenda na tab, lkn note ni tab na sim kwa pamoja ina screen ukubwa wa inch 5 Ambayo ni nusu ya ipad yako, note expernc yake nzuri ina kitu ina itwa spen ambayo inasaidia sana kama wewe ni mchoraji au unapenda ku enjoy pen kwenye screen badala ya vidole.

Kwenye softwr note ina android ya 2. 3. 6 na tab zingine zina 4.x, lkn upgrade ya note naona imesha toka kwenda softwr ya 4.x

kama ni mtu wa kuibeba na kutoka nayo nje size ya note ni afadhali sana.
 
Kama unataka features, zote zinafanana maana zote una download kutoka google shop, practicality labda, note ni ndogo kwa saizi, na features chache zinazotofautiana na tab, kama ulizoea iPad agiza tablet sio note
 
Njia rahisi kufikiria ni Note ni simu kubwa sana, Tab ni tablet although kuna baadhi ambazo zinaweza kupiga simu sio rahisi kuzunguka na simu yenye inch saba au kumi mtaani.

ipAd, note, Curve.
DSgJo.jpg

Note, iphone
HDKb0.jpg
 
Tafuta Samsung Galaxy Tab 7.7,, InaSupport features zote za simu.. Inatumia Android v3.2 Honeycomb ambayo ni kwaajili ya Tablet's tu,,,

okd6py.jpg
2nrhdue.jpg
3479u12.jpg
2v9vyud.jpg
 
Wakuu asante sana kwa kunielimisha, nimefikia uamuzi i will go for tablet. Na vipi kuhusu tablet ina option ya sim chip kwa ajili ya kutumia internet ya mitandao yetu ya sim, au ni mpaka Wi Fi peke yake.
 
Hiyo 7.7 ni balaa, ndio ina sehemu ya kuingiza line na unatumia internet through cellular data kama simu za kawaida na pia kupitia WiFi..ina Pixel Density kubwa ~196 ppi zaidi ya Tablets zote na Pia kioo chake cha 7.7" kimetengenezwa kwa Super AMOLED Plus kikubwa na kinafaa kwa Movies..
 
Kuna zenye kupokea SIM na kuna za Wifi tupu, pia inabidi uangalie kama mtandao unaingiliana na mitandao ya TZ maana marekani kuna network hazitumii GSM
 
Kuna zenye kupokea SIM na kuna za Wifi tupu, pia inabidi uangalie kama mtandao unaingiliana na mitandao ya TZ maana marekani kuna network hazitumii GSM

Ila zantel wameanza kutoa cdma za ipad na hizo tablets tsh 10,000
 
Hiyo 7.7 ni balaa, ndio ina sehemu ya kuingiza line na unatumia internet through cellular data kama simu za kawaida na pia kupitia WiFi..ina Pixel Density kubwa ~196 ppi zaidi ya Tablets zote na Pia kioo chake cha 7.7" kimetengenezwa kwa Super AMOLED Plus kikubwa na kinafaa kwa Movies..

Kwa hapa bongo bei yake inakwendaje mkuu?
 
Kuna zenye kupokea SIM na kuna za Wifi tupu, pia inabidi uangalie kama mtandao unaingiliana na mitandao ya TZ maana marekani kuna network hazitumii GSM
ni kweli kama alivyosema Kang na RealMan,,
 
Galaxy note is awsom u shud go for it,il never sell mine!!!...anybody selling another galaxy note
 
Samsung GT 7'7 ndio mpango mzima. . .
Unapata kila kitu, hata hiyo Ipad yako utaishia kuiona sio kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom