SAMSUNG GALAXY TAB 32GB mpya inauzwa

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
mambo vp wakubwa,
Nauza Samsung Galaxy Tab 32GB ni mpya..... Bei ni 600,000/=
nipigie kwa 0655003510 au ni PM au tuma msg kwa namba 0753196849.
NB. kwa wale ambao wameshanunua simu kutoka kwangu wanajua quality ya simu zangu. So karibuni nduguzangun!
Angalia review ya hii simu kwa kugonga link hii hapa Samsung Galaxy Tab review -- Engadget
 
Attachments

  • samsung-galaxy-tab-ofic-3.jpg
    samsung-galaxy-tab-ofic-3.jpg
    35.5 KB · Views: 113
  • samsung-galaxy-tab-ofic-1.jpg
    samsung-galaxy-tab-ofic-1.jpg
    29.5 KB · Views: 72
  • samsung-galaxy-tab-ofic-2.jpg
    samsung-galaxy-tab-ofic-2.jpg
    41.1 KB · Views: 80
mambo vp wakuu' nashukuru kwa ushirikiano kwa wale walio nitumia text wakiwa interested na kwa walio ni PM pia na hata kupiga simu. Simu nimeiuza jana usiku ila usisite kunichek kama unakitu unataka weka order. Shukran sana!
 
Vitu kama nini? Mi nataka laptop au notebook unazo?
 
Hivi jamani kuna ambaye ameshanunua vitu toka kwa huyu bwana? Nauliza tu maana simu zake zote mbili hazipatikani muda kama wa lisaa sasa.

Nina wasiwasi ingawa nilikua nahitaji kitu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom