samsung galaxy mini

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
178
natafuta samsung galaxy mini used kwa bei ya kawaida mwenye nayo aniPM
 
Kuwa na subra........wadau wapo na watakuja maana na mimi ninatafuta Galaxy S III kitaa nimekosa inanibidi nije kwa JF
 
nisaidieni wajameni,nitawezaje kuingiza internet kwenye samsung galaxy ace s 5380
 
wekana bei kabisa,,si kutafuta utafikiri ulipoteza unatafuta kama kunamtu kaiona akupe.
 
Nshapata wakuu sema kuna tatizo siezi tumia opera wala browser ya simu haifungui
 
hii thread imekaa kibiashara biashara, matangazo madogo inahusika zaidi
 
mmmmhhhhhh but dont move it bwana...

sijui kwa nini sijaitoa tu, nimeisamehe siitoi, nakereka kuona pamoja na kuweka tangazo bado watu wanapost humu matangazo ya kuuza/kununua, ntaanza kufuta na ambae hasikii soon ntaanza kutoa adhabu maana hamsikii
 
Hahaha! Ukiwa admin inabd usiwe short tempered maana m2 znakera mbayaaaa
 
Back
Top Bottom