Samsung 32" lcd tv kwa 650,000/=

kopuko

Senior Member
Oct 24, 2011
180
58
tv.jpg
[h=1]Samsung LN32D403 LN32D403 32" 720p LCD TV[/h]
0.0 0 $279.99 - $334.00
LCD HDTV:Now experience a mesmerizing picture quality with the 32-inch LN32D403 LCD HDTV from Samsung.
 
We naye hujajua tu kuandika tangazo hadi leo..........hebu weka contacts za kueleweka hapa au unadhani tutaota???
 
Upo Buguruni malapa. Actually ni shs 500 tu kwa TV moja.LOL LMAO
Duh hizi hela za kuosha bana!
 
We naye hujajua tu kuandika tangazo hadi leo..........hebu weka contacts za kueleweka hapa au unadhani tutaota???
aliye serious atani PM kaka then ntampa nu yangu instead ya kutoa in public,but natafuta official nu kwa ajili ya kuweka in public
 
Sasa mwana jitahidi basi unipe contacts zako kwa kunipm, kama vipi nikuzukie hapo ofisini kwako na iwapo nitaona mali ipo biyee niibuke na LCD moja faster pasi na kuchelewa.
 
Back
Top Bottom