Sampo Za kichina hizi hapa!

Duuuuuuuuu! Tafadhali kikao kiwe leo, am looking forward to see her...usiniambie una kitu mkuki moyoni

Hahahaha kitu kimeenea kimeenda hewani wacha bana yaani tukiongozana road watu full miruzi tu.
 
Hahahaha kitu kimeenea kimeenda hewani wacha bana yaani tukiongozana road watu full miruzi tu.

Mapigo yamoyo yameanza kwenda spidi kama namwona vile unajua baadhi ya ajali zinasabishwa na hawa dada zetu? wengine wanajua wajaaliwa then wanavaa nguo nyepesi halafu fupi...wenye roho ndogo huwa wanakata network kwanza wanatafakari walichokiona then net inarudi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom