Samatta katupia wakati Mzembe ikiitwanga Zamaleki!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
3,449
4,201
Kama kawaida mwanasoka wa Kitanzania Mbwana Samatta ameendelewa kuwa mchezaji muhimu wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya DRC, baada ya kuifungia goli la pili katika mchezo wa leo dhidi ya Zamaleki kwenye michuano ya Africa - Champions League (Group B).
TP Mazembe ilishinda kwa magoli 2- 0


 
dogo ni mzuri sana kwenye finishing, basi tubahati yake mbaya kazaliwa Africa tena Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom