Samatta aipaisha mazembe kwenye caf champion lg

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Mchezaji wa TP Mazembe B. Samata jana usiku aliifungia timu yake goli la ushidi dhidi ya zamalek ya misri.Wakicheza kwenye uwanja wa cairo bila mashabaki ,Tp mazembe ilifunga magaoli mawili kupitia Hecheni(Mzambia), Samata na Zamaleki walifunga goli moja.
Kwa matokeo haya Tp mazembe imefikisha point 7 na kujikita katika nafasi ya pili kwenye kundi lake.

Group B:
Al Ahly, 10 points
Mazembe, 7 points
Berekhum Chelsea, 5 points
Zamalek,0 point.
 
Dah! Huyu dogo samata bonge la mchezaji namkubali sana Samata azidi kupambana tu afikie malengo yake
 
mchezaji wa tp mazembe b. Samata jana usiku aliifungia timu yake goli la ushidi dhidi ya zamalek ya misri.wakicheza kwenye uwanja wa cairo bila mashabaki ,tp mazembe ilifunga magaoli mawili kupitia hecheni(mzambia), samata na zamaleki walifunga goli moja.
Kwa matokeo haya tp mazembe imefikisha point 7 na kujikita katika nafasi ya pili kwenye kundi lake.

Group b:
Al ahly, 10 points
mazembe, 7 points
berekhum chelsea, 5 points
zamalek,0 point.

big up samata
 
jana nimeaangalia hii mechi ss9 the boy is great alipiga bonge la header kama kule lubumbashi walipowafunga hao waarabu 2-0, pia aliwakosa maboa mawili kwa diving header kwa kifupi anatisha and he is only 20
 
ssa mbona akiwaga huku hafungi huyu dogo bana..au akicheza mbele ya papaa moise katumbi chapwe mutu ya dyamaaa mukuu wa province ya katanga ndo anakuwa anatiririka..
 
Ana boa sana akiwa team ya taifa hapa,anajifanya kama hayupo mchezoni kabisa!!au anaogopa kuumia?awe anatoa pasi za ushindi basi sio lazima apangue ngome na kufunga!!!hajitumi kabisaaa
 
Ana boa sana akiwa team ya taifa hapa,anajifanya kama hayupo mchezoni kabisa!!au anaogopa kuumia?awe anatoa pasi za ushindi basi sio lazima apangue ngome na kufunga!!!hajitumi kabisaaa
Kwa kweli hiyo tabia yakeinashangaza sana. Maana ukimwangalia anapocheza akiwa Mazembe ni tofauti kabisa na anapokuwa Stars. labda formation ya uchezaji ndiyo inamfanya asionekana mzuri anapokuwa Stars
 
ni kutokana na aina na uchezaji wa Tp mazembe kule amezungukwa na watu wenye vipaji tofauti na timu ya taifa aina ya wachezaji na pia wengi hawajitumi hawajui thamani ya kuchezea timu ya taifa
 
Dogo wa Ulaya - Ligi za maana kabisa,pale Lubumbashi anapoteza muda tu
 
Tp mazembe analipwa 10,000 usd net as a salary per month, plus nyumba nzuri, gari nzuri na ana health insurance ya kutibiwa popote duniani akiumia sasa kwa nini asijitume, mambo ya taifa staz ukiumia unapewa maji ya mwarobaini nani anataka...

Yule dogo akirud bongo siku hizi anaonekana na magari ya hatari anapenda sana kwenda coco ana range moja matata sana,,,, na hapo bado hajafika malengo na sipat picha jumba atakaloangusha gezaulole as ccm wamempa kiwanja jiran kabisa na mafisad kwenye mgao wa gezaulole kigambon as wana amini dogo hela anayo
 
samata namkubali kinouma nouma mpaka nataman angeenda england kucheza ili 2we 2naona jins anavyo2pia.sema kinachokera tp mazembe hawauzi wachezaj wake nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom