Samaki wa Magufuri kugawiwa bure kesho kutwa

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Wale samaki waliokamatwa, wataanza kugawiwa kesho kutwa kwa wale waliotuma maombi tu, Waziri Maghufuri ametamka hayo leo hii muda mfupi uliopita,

Sijui kiafya kama zimekaguliwa na wataalamu,
 
Wizi mtupu!
Wanadai eti wakiwauza, kuna uwezekano wa maalamia waliowatuma kuwanunua, na ni vyema watanzani wakafaidi maliasiri yao,

Kwa hiyo walisubili watuvulie ndio tupate kufaidi maliasiri yetu?
 
Back
Top Bottom