hapana sio utoto wala njaa. kutokana na kumsikiliza bwana hamza waziri wa zanzibar kuna sheria inayozungumzia kuhusu masuali ya bahari kuu ambayo inasema kuwa mgawo wowote wa mali za bahari kuu uwe 40 to 60.
na masuali hayo kwa vile sio mambo ya muungano kwanza ilipaswa mawaziri wawili wa Tanzania yaani Tanganyika na zanzibar wakae waongee ni jinsi gani ya kufanya na sio waziri mmoja ajifanye kuwa ana nguvu za maamuzi dhidi ya mwengine.
nnachokiona ni zanzibar sasa wanatafuta bifu, na hapa wamekamata kipengele cha sheria inayohusiana na bahari kuu.
huu moto naona umeanza kuwaka tena
Nafikiri ingekuwa busara zaidi kama na kwenye utendaji iwe Z:T=40:60, yaani kwenye kuwawinda maharamia na kuwakamata, kwenye kulipia gharama za kuhifadhi yaani $800 kwa tani kwa mwezi yaani Z:T=$320:$480 mara tani 296 mara miezi kumi.