Samaki wa Japan wanauzwa huku nyuma ya K-Net Cafe-Kawe

KWA WANAOPITA NYUMA YA HILI JENGO KUKIMBIA FOLEN MTAONA KUNA CANTER

MOJA LIMEJAZA MASAMAKI YAMEBANDIKWA KWENYE COVER YAKE AFCAST SIKUSOMA VIZURI LEBO YAKE

ALAFU WAMEANDIKA MADE IN TANZANIA HUKU WAMAM KWA VIJANA WAKIGOMBANIA

TULIPODADISI TUKAAMBIWA NI MOJA YA KALE KAMZIGO KA JAPAN NA KIMETOLEWA FASTA

KIMALIZIKE HUKU HUKU WAKIDAI WATU WA KAWE NA MBEZI BEACH AWAKUBAHATIKA KUPATA

ILE MIZIGO YA KWANZA..HATA HIVYO KWA MBELE KULIKUWA NA MAPOLISI WENYE BUNDUKI

WAWILI WAKILINDA SASA SIJUI WANALINDA NINI IKABDI TUKIMBIILIE KWANZA KWA MABWANA ZETU

(oFISINI) MLIOKARIBU EMBU TUJUZENI NIKWELI MADE IN TANZANIA .

Umefanya vizuri kutoa hizi taarifa mkuu manake kama mlivyosikia serikali imeomba ushirikiano wa wananchi kutoa taarifa ili kuwezeshwa kukamatwa kwa samaki ambao wameshasambaa mtaani,walichokosea serikali hawajatuambia namna ya kuwaaidentify hao samaki.

mkuu hata nikitoa taarifa ni sababu ya JF wenzangu sio hii serikali ya kishetan jiulize kama kuna serikali zile polisi na bunduki zinafanya nini alafu watu wakijaa zinajifanya kama zinaelekea kule kawe club kutafuta hewa ya beach hawana adabu kabisa

Back
Top Bottom