Wengi wetu wanaume tunajisahau na kufikiria kuwa ndoa ni chakula au mavazi au matumizi mengine madogo madogo au hata usafiri
Tunajua kwa mwanamke hapo tumempa kila anachotaka
Ila tendo la ndoa ni ziada ya kile anachotaka na sio haki yake wala sio kwamba ndio msingi wa ndoa na hapo ndipo linapokuja tatizo
Unamuacha mke wako humpi haki yake ya ndoa unakimbilia kwa hawara na mkeo anapata unyumba kwa masharti au pale mimi mwanaume nitakapojisikia
Hapo ndio ugomvi unapoanzia kwenye ndoa
Mwanzoni, unapokuwa na hawara unaweza kuona kwamba unapata raha sana, lakini kusema ukweli, at the end of the day ni mateso sana. Pesa, na resources zote tunazopeleka kwa mahawara zimeshindwa kabisa kudumisha ndoa zetu? Kungekwua na raha kiasi gani kama vingebaki ndani ya familia?
Mfanyakazi mwenzetu amenunuliwa gari na hawara/ mke wa mtu. Mumewe amebanwa na nyumba ndogo, yeye naye anatanua kivyake na wanaume wengine. Mumewe kamjengea nyumba hawara, yeye naye kamnunulia gari hawara yake wa kiume. Ikifikia hatua hiyo, atu wa Tanga wanasema: KAMA MBWAI NI MBWAIA BWANA!!! Wewe mwaga ugali, mimi namwaga mboga.
Sasa chakula na mavazi hao wanawake hawakuwahi kupata kabla? Hilo tendo ni moja ya misingi inayoshikilia ndoa, kama halipo sioni maana ya kuitana "wanandoa".
Alafu mimi nilidhani hili tatizo lipo kwa wanawake zaidi (uchoyo wa penzi) kumbe wanaume nao wamo sana tu?
Sasa chakula na mavazi hao wanawake hawakuwahi kupata kabla? Hilo tendo ni moja ya misingi inayoshikilia ndoa, kama halipo sioni maana ya kuitana "wanandoa".
Alafu mimi nilidhani hili tatizo lipo kwa wanawake zaidi (uchoyo wa penzi) kumbe wanaume nao wamo sana tu?
Halafu sometimes sisi wanaume tunakuwa vituko sana
Tuna macho halafu hatuoni na masikio ila hatusikii
Tunayaona mambo yanavyokwenda kwa hao hawara zetu na ndani ya ndoa ila wala hatushtuki
Unawez akukuta ndoa ya mtu imepoa sana yaani mke kila mara hana raha
Anaishi pale kwa mwanaume kwa ajili labda ya watoto wake kutokana na vitendo vinavyofanywa na mume wake
Mume huko kwa hawara anagonga tuu mara gari mara nyumba mara sijui pesa za kupangisha nyumba huku watoto na mke wake wanakula dagaa na kauzu ambao hata hawana raha nao hata kama kimepikwa vizuri kiasi gani kwa kuwa mke ndoa anaiona chungu tayari
Hana raha na mume wake so hata chakula kwake badala ya kuwa kitamu afurahie ndoa yake anakiona kibaya
Sex is 1st pillar of successful marriage!
Kwa kweli, wanandoa, kwa uzembe wetu wenyewe, tumeishia kujibebesha mizigo mikubwa sana.
Uwaacha watoto wa damu yako wateseke, leo hii ukalee watoto wa hawara?
Nitakapo amua kuingia ndoan,nitakuwa nimejihakikishia kulitekeleza hilo.[/COLOR]
Ukitekeleza hili, kwa hakika utakuwa UMEKULA KIAPO CHA NDOA KISAWA SAWA!
Ila huko nje (nyumba ndogo) ghafla maana inabadilika?
Hao ni watu wasiojielewa.
Ni kazi ngumu kupata majibu kwenye ushindani!Unapojadili jambo epuka umimi!Utapata jibu!
Jana ilikuwa siku ya kwanza ya kazi baada ya mwaka mpya. Kama kawaida wakati wa tea time and hata lunch, colleague hawaachi kulete story za hapa na pale. Basi likaja swala moja ambalo lilileta ubishi na mzozo mkubwa, wanaume wakivuta kwao na wanawake nao wakisema lao. Kuna dada mmoja mwenye ndoa alilalamika kwamba wanaume wengi wanadhani kwamba jukumu lao ni kuoa mwanamke na kumweka ndani, na baada ya hapo ni kuhudumia family kwa mahitaji ya kula, na mavazi., FULL STOP. jukumu jingine la unyumba (ambalo wakina dada walidai kuwa ndio linalowatoa kwa wazazi wao kwenye vitanda na chakula kama kwa waume zao), linasaharika na kupewa umuhimu mdogo. Badala yake, wanaume wengi wanakuwa busy na vimada na mahawara, wanaacha kzai za ndani. Sasa kwa kuwa wanawake nao wanana mahitaji yao ya unyumba, na mume hapatikani, basi ndipo wanapoangukia mikononi mwa serengeti boys/mahawara.
Kwa kweli hadi mwisho hakukuwa na jibu la kueleweka: wanaume wanadia kwamba samaki ukishamvua kutoka majini hukuna haja tena ya kumpa chakula, na wanawake wanasema hawakufuata chakula na vitanda kwa maana hata walipotoka vipo. Wana JF, mnalionaje hilo?
Mwanamke au Mwanaume wote tunatakiwa kutendeana haki kwani kila mmoja atamuacha baba na mama yake naye ataambana na na mwenzi wake kwanini msipeane haki zenu kqa kupatana?