Samaki mtamu jamani!!

sasa utajuaje kama samaki ni mtamu huku wamla upande mmoja tu?
tamu ya samaki umle pande zote. wamla upande mmoja kisha wamgeuza upande wa pili.
hutakiwi kuchanganya pande zote mbili yani kula kidogo upande mmoja kisha unageuza upande
wa pili tena kisha wamgeuza upande wa awali hiyo ni hatari,

Upande wa pili unakuaga mchafu mi siupendi!! Loh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom