Samahani... watoto hawa wameniliza.. sasa najiuliza..

Halafu wakirudi darasani wanakaa chini kwenye mavumbi huku gavana wa benki kuu akitanua kwenye jumba lake lenye bwawa la kuogelea na viyoyoyozi na makorokoro mengine yaliyoagizwa toka majuu...

View attachment 13688

Uko sahii kabisa. Nafikiri hata humu JF kuna baadhi yetu tumepitia kwenye madarasa haya haya.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom