Samahani wakubwa.

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Naomba msaada me ni member ila huwa najaribu kuchangia maada mbalimbali wanazoanzisha wajumbe ila nimepewa warning kuwa ushiriki wa acount yangu hauonekan hivyo naombeni msaada khs jinsi gani naweza nikatumia jf sahihi kama nyie wenyeji wangu!
 
sijakupata vizuri mkuu
 
sijakupata vizuri mkuu
ok ni hiv inshort mkubwa nahitaji maelezo ni vp naweza nikatumia flesh acount yang ya jf nikitaka kuchangia,kuanzisha mada mpya na mengineyo je nifuate step zip hilo ndio tatzo langu(i want 2 enjoy jf)
 
Mkuu ndio unazidi kunichanganya kabisa, kwani hii topic si umeanzisha wewe na umeweza kuchangia kwa kunijibu tena mimi?
 
Mie WAHAAHAA HAAAAA HAAA AAAA! WALAH NIMECHEKA MPAKA MBAVU HOI!...MY YONGEST SON IS ALSO LOUGHING, HAJUI HATA KNACHOENDELEA, He IS 10MONTHS OLD! This is loliest! Mwe.
 
paulls hauna customercare kabisa unajifanya kama humuelewi jamaa,au we mwenyewe chenga u cnt show him how to participate full in JF
 
Ha...ha...ha...ha... Nimeshtuka bwana, kumbe jamaa anataka kwenda kwa MR. Sasa ndo anatafuna maneno...
 
Back
Top Bottom