Samahani nimekosea namba...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Saa mbili usiku huu nimepokea simu ya nambari ya siri ambapo sauti ya kike ilihanikiza.Mazungumzo yetu mafupi yalikuwa hivi;
Upande wa pili: Hallow!
Mimi: Hallow!,nazungumza na nani mwenzangu?
Upande wa pili: Mimi ni mtoto wa (anamtaja Waziri kwenye Serikali ya Baba Mwanaasha),nazungumza na Vuta-Nkuvute?
Mimi
: Ndiyo.Unasemaje ndugu?
Upande wa pili: Samahani nimekosea namba...(simu ikakatwa)

Hivi mambo haya ni halali kweli? Kukosea gani huko jamani?
 
kwa nn asijitambulishe kama yeye hadi atumie identity ya babake??
fix tu...mtu anakujua na anajua yr jf id
 
Ingia cha kike, ukitoka uje kutusimulia tena!
hilo neno la mtoto wa waziri ndo chambo anajua utanasa then utakaribishwa town upya
 
kwa nn asijitambulishe kama yeye hadi atumie identity ya babake??
fix tu...mtu anakujua na anajua yr jf id
Mkuu hapo kwenye Vuta-Nkuvute aliniita jina langu la ubatizo kabisa...la kwangu na la baba.Yaani..
 
uliacha namb buguluni baada ya kuhudumiwa... Ndo utaxumbuliwa mpka bax, wenzio wakienda hawaach namb
 
Back
Top Bottom