wajemeni narudi tena jamvini...........watakaonuna au kufurahi kwa raha zao! Nimerudi toka mjini nimekutana na jambo la kusikitisha. Ile natia timu tu huku dodoma-eneo la chang'ombe, nimekuta kikao cha usuluhishi kati ya mpangaji mwenzangu na mkewe pamoja na ndugu wa mke na mume.
Kifupi ni kwamba mume amemtaliki mkewe baada ya jaribio la mke kumuua mumewe kwa kumuwekea sumu ktk chakula, wiki sita zilizopita. Baada ya mume kulazwa hospitali ya general kwa wiki 5, jana ndo katoka hospitali na kufikia kutoa talaka leo. Nami ndo nimefikia kuitwa kwa hicho kikao. Masikini bahati nzuri mume hajaathirika sana, ingawa morphology ya mdomo imeharibika kidogo. Habari ya mhusika haijafikishwa polisi kwa kuhofia watoto wao kukosa malezi ya mama-wamezaa watoto 4.
Wakati wa mjadala, mke alimuomba mume afute talaka kwani halikuwa lengo lake kumuua. Ajabu kila mume alivyokuwa akimkomalia, kutaka kujua lengo lake la kumuwekea sumu kwa chakula lilikuwa nini basi kama sio kumuua, mke alishndwa kujibu swali na kubakia kulia tu kila anapoulizwa jibu la swali hilo. Kwa kuhofia suala lisifike mahakamani, jamaa ameamua amuache mkewe kistaarabu kwa kutokwenda polisi kuwaambia 'source ya poisoning'. Kwa kuwa mume ameshikilia msimamo wa kumucha mke, sisi hatuna jinsi, mume kesha amua. Mjadala bado unaendelea jinsi ya kugawana mali, nyumba 1, daladala 2 na teksi 1.
Naendelea kujiuliza, sijapata jibu-hivi inawezekana kweli, unamuwekea mtu sumu kwa chakula halafu unadai lengo sio muathirka afe? Kama lengo halikuwa kumuua mume, alitegemea sumu imfanye nini mumewe?
Inahuzunisha sana!
Wajemeni narudi tena jamvini...........watakaonuna au kufurahi kwa raha zao! Nimerudi toka mjini nimekutana na jambo la kusikitisha. Ile natia timu tu huku dodoma-eneo la chang'ombe, nimekuta kikao cha usuluhishi kati ya mpangaji mwenzangu na mkewe pamoja na ndugu wa mke na mume.
Kifupi ni kwamba mume amemtaliki mkewe baada ya jaribio la mke kumuua mumewe kwa kumuwekea sumu ktk chakula, wiki sita zilizopita. Baada ya mume kulazwa hospitali ya General kwa wiki 5, jana ndo katoka hospitali na kufikia kutoa talaka leo. Nami ndo nimefikia kuitwa kwa hicho kikao. Masikini bahati nzuri mume hajaathirika sana, ingawa morphology ya mdomo imeharibika kidogo. Habari ya mhusika haijafikishwa polisi kwa kuhofia watoto wao kukosa malezi ya mama-wamezaa watoto 4.
Wakati wa mjadala, mke alimuomba mume afute talaka kwani halikuwa lengo lake kumuua. Ajabu kila mume alivyokuwa akimkomalia, kutaka kujua lengo lake la kumuwekea sumu kwa chakula lilikuwa nini basi kama sio kumuua, mke alishndwa kujibu swali na kubakia kulia tu kila anapoulizwa jibu la swali hilo. Kwa kuhofia suala lisifike mahakamani, jamaa ameamua amuache mkewe kistaarabu kwa kutokwenda polisi kuwaambia 'source ya poisoning'. Kwa kuwa mume ameshikilia msimamo wa kumucha mke, sisi hatuna jinsi, mume kesha amua. Mjadala bado unaendelea jinsi ya kugawana mali, nyumba 1, daladala 2 na teksi 1.
naendelea kujiuliza, sijapata jibu-Hivi inawezekana kweli, unamuwekea mtu sumu kwa chakula halafu unadai lengo sio muathirka afe? Kama lengo halikuwa kumuua mume, alitegemea sumu imfanye nini mumewe?
Inahuzunisha sana!
Ndyoko ! Habari yako mbona imenistua hadi vinyweleo vimenisimama !.
Ama kweli MKE SIO NDUGUYO !
Tusaidie kabila la huyo mdada, maana makabila mengine nasikia ni balaa kwa kuua waume zao baada ya kuwa na mali. Mwanaume kafanya uamzi wa busara, ila amfukuze asimpe mali hata kidogo, maana ataenda kuzifuja huko.
Ndyoko ! Habari yako mbona imenistua hadi vinyweleo vimenisimama !.
Ama kweli MKE SIO NDUGUYO !
Aisee una majibu ya kiintelijensia ile mbaya.................wewe ni mkali!Inawezekana kakosea step badala ya kuweka chumvi katia sumu.