Samahani kwa Kikwete na wana JF

..acha uwoga wewe,hiyo ni nidhamu ya woga na unafiki tuu kama kawaida ya watanzania..kwa tabia hizi ndio mnaweza kupigana na mafisadi nyie kweli? yale yale jamani mzee wetu kastaafu mwacheni apumzike,B.S kwa kwenda mbele wanafiki watupu

Asante Koba,

nadhani hata wewe una nafasi ya kuanzisha topic ya ufuska na ukaendeleza hiyo kampeni yako bila woga. Topic za ufuska wa Kikwete zinaendelea hapa so kazi kwako kuendelea nazo. Kila mtu ana nafasi yake ya kuplay, na hili sasa ni kwako na usipofanya hivyo wewe ndio utakuwa mnafiki mkubwa hapa!
 
......

Now check this out, jana tumeahidi hapa forum kuwa in hours tutaweka picha za rais wetu akiwa kwenye compromise state, yaani akifanya mapenzi na wanawake ikiwa ni revenge kutokana na kuwekwa kwa thread inayomuhusu Mwenyekiti wa Chadema, since then sio hours tu zimepita hatujaziona hizo picha, sasa imeanza kuwa days, na sasa tumeanza mpaka kuombwa misamaha na maneno mengi matupu, picha hamna?

Mkuu FMES,

Heshima kwako as always. Picha za Kikwete zipo na ziliwekwa hapa na kama umezikosa pole sana. Next time kuwa makini hapa kwani utapitwa na mengi!

Rais Kikwete, aliahidi Mabillioni kwa wananchi, baada ya angalau mwaka yakatolewa,

Naona sasa Tanzania ishakuwa saudi arabia kuwa pesa za serikali ni za Rais wa nchi. BTW, hayo mabilioni ambayo wataalamu wengi wa uchumi wamepondea hiyo strategy kuwa ni mbovu ikitumiwa kwa nchi ambayo ina ifrastructure duni kama Tanzania ndio the best unaweza kuweka hapa?

Viongozi wetu ni sisi wenyewe, wananchi na hasa sisi kwenye hii forum!....![/B]

NO, kuna viongozi wengine ni beyond comprehension na wanaweza wasiwe reflection yetu wenyewe!
 
Huyo Kikwete sio mwanachama hapa JF ukitaka kumuomba msamaha mpigie simu, mtumie email, barua au njia nyingine ili apate huo "msamaha"

Halafu unaomba msamaha au unatoa kejeli? picha hakuna na unang'ang'ania unazo, kama unazo ushapewa rukhsa mwaga hapa...

Nilisema mapema Watson is right....

Aombaye msamaha husamehewa bwana, Kejeli iko wapi?
Ndo nyie mnataka wang'ang'anie kwenye mambo yasiyostahili kwa kusita kuomba msamaha.
Acha roho ngumu weye!
 
Aombaye msamaha husamehewa bwana, Kejeli iko wapi?
Ndo nyie mnataka wang'ang'anie kwenye mambo yasiyostahili kwa kusita kuomba msamaha.
Acha roho ngumu weye!

Thanks Hume!

Huyo Masatu ana kidonge kuwa hakuziona picha kwa hiyo anadhani kuwa amepata cha kukandamiza hapa. Mwaka huu atamaliza nyembe zote dukani. Hasira zote lakini picha hapewi ng'o
 
huu ujinga, unaomba msamaha then unaendeleza bolistiki shyt ! am not buying that shitty news !

am out !
 
Nimeomba msamaha kwa kuweka picha hapa na kusisambaza. Na ukweli ni kuwa sitaziweka hapa tena wala kuzisambaza. Everything else ni kama jana.

JF imeboreshwa na server zimeongezwa na Mwafrika wa kike is here to give em ccm hell!
 
Khaa! wewe mama Mbona hivyo?

Anyway kosa umefanya sasa sisi wana JF ndio tuna uamuzi wa kukadhibu au kukusamehe,kuwa mpole ukisubiri hukumu yetu.

Asante Mkuu,

Dont worry about it ingawa nitaendelea kuwapa hell vi-complex kama kawaida yangu maana some of them wanachuki na JF no matter what happnes here!
 
Khaa! wewe mama Mbona hivyo?

Anyway kosa umefanya sasa sisi wana JF ndio tuna uamuzi wa kukadhibu au kukusamehe,kuwa mpole ukisubiri hukumu yetu.

utoto saa nyingine huplay big part katika hili suala !
sooo puuzieni !
 
bado najiuliza tu !!

toon.gif


NAMALIZIA NA GADEMU !!
 
Na wewe KM naona huna mpango hivi utakua lini? Jadili hoja zilizopo kama hauna hoja siutimke tu? gademu! Haya ciao jamani weekend njema!
 
david-lock-free-cartoon02.jpg


NING'INIA UFE !! hamna, nakutania sister, haya nshaacha basi ! napenda kweli mwanamke anaponiambia hivyo lakini ingekuwa dume nisingefagilia !

lakini poa, baadae !
 
Mwafrika wa Kike, du sista umelikoroga, yaani nikicheki comment zako zilizopita nachoka kabsaa....eti unaomba msamaha??!!NONSENSE 2PU.....and what is this thing with Mwanakiji, are you guyz trying to create your own scandal a.k.a boning each other?!!
 
Mwafrika wa Kike, du sista umelikoroga, yaani nikicheki comment zako zilizopita nachoka kabsaa....eti unaomba msamaha??!!NONSENSE 2PU.....and what is this thing with Mwanakiji, are you guyz trying to create your own scandal a.k.a boning each other?!!

Ha ha Kiluminati the don umenichekesha sana...
 
Back
Top Bottom