Samahani kaka..........eti umeoa................!

Mtambuzi hujatulia, kujibu suali rahisi namna hiyo ndo mpk umvutie kasi, mara mpk umalize kula, mara hujui anamaanisha nn!
Na hilo jina lako bado tu hujatambua......
 
mwambie hujaoa bsdo ila unarafiki ambaye ni mama yake.usikie atakavo furahi.
 
Bado najiuliza ana maana gani.................Au kwa sababu sijavaa pete ya ndoa kama wengine...........!?
Mtambuzi bado unakula tu mpe jibu lake labda ana nia njema tu, kwanini kumfikiria ni mvunja goti tu.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi bado unakula tu mpe jibu lake labda ana nia njema tu, kwanini kumfikiria ni mvunja goti tu.

Taijike hapa nakudai matibabu ya mbavu zangu:
1 imevunjika kabisa
3 zimepata kreki (kwa mujibu wa X-ray) na
4 zinashekisheki!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom