Sam Ma(h)ela wa ITV

Unajua bana mbu mbwembwe za redioni na za kwenye tv lazima ziwe na utofauti.. Kama unajua unaonekana mbele za watu basi angalau weka mbwembwe ambazo hazitakuwa irritating! Sam mahela unakuta anatangaza issue ambayo ni muhimu then anaweka hizo pozi zisizo za lazima.. Anakuwa kama ana act vile..

Alikuwa muigizaji zamani wa michezo ya kuigiza ya ITV miaka ya 2005 kurudi nyuma. Inawezekana imemuathiri.
 
Msameheni Huyu ubitozi umemzidi....anaitwa Samwel Maganga Mahela.....lakini anajiita Sam Mahela!!! Bitozi
 
Back
Top Bottom