Sam Ma(h)ela wa ITV

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,519
Hivi hawa wanahabari wa ITV ni huwa wanajifanyisha au ni ndivyo walivyo? Hebu muoneni huyu Sam Mahela....anzia kwenye dakika ya 3:39.....

 
Last edited by a moderator:
NN mm wa TECNO umenifikiriaje!...walahi hujanitendea haki!..
 
Huyu dada mjanja sana.....
Safi sana ila awahi kabla hawajamchakachua....halafu mbona kama bado mdogo?
Tumezoea wajane ni wazee.....wamama.....Lol
 
wanaume wa siku hizi kwani wanaume bas aaah

Kwa heshima na taadhima "USICHANGANYE NGANO NA MAGUGU"
% Kubwa yetu tu "MASHUKE SAFI" unaonaje kwa kunitendea haki mimi as a MALE na wenzangu wote wa Jf , (kabla hawajakushukia) within 6 hrs ahead ukatuomba RADHI, Kuzingatia kauli yako ya kutosema "BAADHI YAO!" umetu'combine kwa jumla wetu "WANAUME WA SASA"
viashario kua "SISI WANAUME WA SASA SI RIZIKI"
MATUSI MAKUBWA SANA HAYO BINTI .
 
wanaigana sana.
Ukimwega na joji marato basi tabu tupu.

Kuhusu kuliwa jamani msemaji uwe makini, ni rahisi sana kuchafua jina la mtu lakini hakuna kifutio cha kulisafisha.
 
Amepitiliza kupretend, ukchanganya na ile sijui kalikiti au ni piko kama sio super black kwenye kichwa chake.
 
Mi hayo mapozi mpaka kichwa kinapinda then jina lake analitaja kwa pause hata sijaipenda! I think watangazaji wa ITV wana hako katabia sana..
 
Mi hayo mapozi mpaka kichwa kinapinda then jina lake analitaja kwa pause hata sijaipenda! I think watangazaji wa ITV wana hako katabia sana..

Afadhali na wewe umeliona hilo maanake nilianza kudhani labda niko peke yangu tu ninayeliona.

They sure don't have a dearth of weirdos up in that newsroom.
 
Back
Top Bottom