Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 117
Duh wewe umepiga misele kidongo chekundu nini? alafu pale nyuma ya jengo la Ushirika kulikuwa na basi linaondokea pale kwenda Kagera.
Naomba kukusoa Nyuma ya Jengo la Ushirika kulikuwa hakuna KITUO CHA BASI bali kituo cha mabasi kilikuwa mbele ya KIDONGO CHEKUNDU au MBELE YA JENGO LA USHIRIKA...sijui yale mabasi yalikuwa yanaenda wapi lakini najua yalikuwa yanaenda bara
Nyuma ya jengo la Ushirika kulikuwa na jengo JIPYA la mzee mmoja wakichagga ambaye ni architect ambalo aliita NEW CO ARCHITECTURE BUILDING...lake la zamani ni lile lilokuwa mtaa wa Uhuru Opposite na CALTEX lilikuwa linatazamana na hoteli ya KIBODYA ambayo wale rafiki zake SALVA walikuwa wanafikia....sasa OFISI yao ambayo SALVA in the late 90's alikuwa anafrequent ilikuwa nyuma ya jengo la SUKITA ambako zamani kulikuwa ni ofisi ya lawyer mmoja maarufu Dar ambaye baade BEN alimpa uwaziri au something like that...sasa nyuma ya jengo lile ndiko ma swahiba zake SALVA ambao walikuwa ni CNDD walikuwa na ofisi pale