Salva Rweyemamu maneno haya ni yako?

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Heshima mbele.Nimesoma hii katika TL ya Twitter katika akaunti ya Salva Rweyemamu,nimeona tujuzane nini kinajiri hapa.

Twitter
 
ah haaa haaaa amkuu nimeicheki ila nadhani anahujumiwa tu kuna mtu kafungua account kwa jina lake
 
Kama ni hivyo sijui atakuwa ameleta madhara kiasi gani hadi wablock.Mambo ya ajabu na aibu.
 
Hii kali sana, labda atakuwa mkewe anamfanyia hivi maana yupo bongo kwa sasa!!!

salvarweyemamu Salva Rweyemamu

#LiesTanzaniansTell Rais hakuhongwa suti.
32 minutes ago

salvarweyemamu Salva Rweyemamu
Under the New Katiba I want to be the Minister for Propaganda.
1 hour ago

salvarweyemamu Salva Rweyemamu
Manchester United 6????**** kabisa.
1 hour ago

salvarweyemamu Salva Rweyemamu
My favourite cigarette brand is still SM.No much changes.
1 hour ago

salvarweyemamu Salva Rweyemamu
Survived 2010 Elections,survived DICOTA maandamano,survived SUTI WIKILEAKS.#np Destiny's Child - Survivor
1 hour ago Favorite Retweet Reply

salvarweyemamu Salva Rweyemamu
UNAULIZA RAIS ALIHONGWA SUTI?KWANI NILIJIBU VIPI?NILISEMA ALIPEWA!!HAKUHONGWA.KANJANJA!
1 hour ago Favorite Retweet Reply
 
hii kitu mbonailiongelewa sana humu na maeneo mengine. Ni muda umepita mpaka sass
 
Imenishangaza sana ktk huu msafara ambao sababu ya kuwahi huku haina tija kwa taifa letu kabisa!
Dalili za burudani ktk msafa huu niliziona tangu awali na nikapenyeza ushauri wa kupinga kuwahi bila mafanikio.
Lakini jana ktk mazingira nisiyo amini baba riz1 akatuamuru tumpeleke akale bata kwenye Kasino la maraha lililopo ktk jiji la Perth hapa Australia.

Hali ndiyo hiyo watanzania wenzangu hakuna cha mikutano ya wabeba box wala nini mkutano kamili unaaza ijumaa ila sisi ni bata kwenda mbele!

Bahati mbaya sikuwa na camera lakini wale wenye account ya twitter wamfollow ***** Salva maana yeye ndie alikuwa na kamera na tuliporudi hotelini akawa anaziweka twitter bila hata aibu!
 
Haya ni maisha binafsi. Kila mtu ana uhuru wa kufanya chochote baada ya muda wa kazi.
 
Ikiwa hayo ni ya kweli basi JK uwezo wake wa kufikiri utakuwa umepungua sana, na kibaya zaidi wapambe wake nao watakuwa wamelevywa na starehe wakasahau kumshauri JK mambo yaliyo sahihi kabisa.
 
Haya ni maisha binafsi. Kila mtu ana uhuru wa kufanya chochote baada ya muda wa kazi.

That is very true if you spend money from your own pocket. Otherwise enjoying with tax payers money,while we have many issues that have not been settled, then that is a sign of being an irresponsible person!!
 
Ni huku bongo lakini ukiwa na madaraka fulani kama rais kuna mambo ambayo ni binafsi lakini huruhusiwi kuyafanya ili kulinda heshima yako.
 
Haya ni maisha binafsi. Kila mtu ana uhuru wa kufanya chochote baada ya muda wa kazi.
Baada ya kazi ipi? Yani kusafiri toka dar mpa hapa ndo kazi?
Kuna ulazima gani wa kusafiri na kundi la watu zaidi 50? Tatizo vijana mliotumwa kuitetea serikali katka mitandao ya kijamiii hamkupewa nature ya mwajiri wenu na kazi yenu!!
 
na huku nchini kwake watu zaidi ya 30 wamekufa na ajali, hata mkoono wa pole?
 
Imenishangaza sana ktk huu msafara ambao sababu ya kuwahi huku haina tija kwa taifa letu kabisa!
Dalili za burudani ktk msafa huu niliziona tangu awali na nikapenyeza ushauri wa kupinga kuwahi bila mafanikio.
Lakini jana ktk mazingira nisiyo amini baba riz1 akatuamuru tumpeleke akale bata kwenye Kasino la maraha lililopo ktk jiji la Perth hapa Australia.

Hali ndiyo hiyo watanzania wenzangu hakuna cha mikutano ya wabeba box wala nini mkutano kamili unaaza ijumaa ila sisi ni bata kwenda mbele!

Bahati mbaya sikuwa na camera lakini wale wenye account ya twitter wamfollow ***** Salva maana yeye ndie alikuwa na kamera na tuliporudi hotelini akawa anaziweka twitter bila hata aibu!

Mkuu, unamsema Ridhiwan huyu mtoto wa JK au mwingine?
Mbona jana nimemuona pale
ofisi za IMMMA?
 
That is very true if you spend money from your own pocket. Otherwise enjoying with tax payers money,while we have many issues that have not been settled, then that is a sign of being an irresponsible person!!
Upo sahihi kabisa ukizingatia msafara wa rais unagharimiwa kila kitu na pesa za walipa kodi, halafu leo hii mtu anakwenda club. Hili ndilo linalomvunjia heshima sana JK.
 
Back
Top Bottom