SALUUUT KWA akina MAMA WALIO KWENYE NDOA.

Hata mimi nikijamfumania mke wangu nitashindwa kuwa na hasira saana maana najijua kuwa hata mimi namesha cheat mara kadhaa, ila ugumu ni pale atakapata ujauzito wa mtu mwingine na iko wazi kabisa, hapo itabidi tuachane tu.

Lakini namshukuru Mungu pamoja na hiki kizazi cha dot com nimepata mke mvumilivu na ananilea kwa kweli(sio kipesa), hata sasa naona haifai kucheat tena licha ya majaribu bado yapo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom