Salute to all women

AMA slow down,hatubishani hapa,besides CHARITY alishatoa msaada na tukafunga mjadala.,peace!!

Nakushangaa sana kuanza kutoa vilecture wakati ulienda kukopi kimada ka Michuzi ambacho kilishaletwa humu masiku kibao yaliyopita.

Na kuhusu hilo la kubishana ulitakiwa ulijue kwamba lipo kabla hujaanzisha hii thread.

Usitegemee kwamba niko hapa kukubaliana hata pale pasipo na sababu ya kukubaliana....so just you know.
 
Hukulazimishwa na yeyote kucomment kwenye hii thread, kama ilishawahi kuwepo na unajua hilo si ungeipotezea tu kama wengine wanaoangalia na kuona hakuna kipya cha kucomment kwa kuwa ilishachangiwa siku za nyuma, you said ilikuwepo nikakuomba link ukatokomea, Charity akasaidia kunionyesha na hatukubishana na mimi nikaweka hiyo link ya michuzi na kumpongeza Xpin ambaye ndiye aliyeibandika wa kwanza humu, please uwe mwelewa mjadala huu tulishaufunga na kutakiana amani hakuna haja ya kulumbana, JF is where we make our days na sio mahali pa kuharibiana siku..peace!!
 
Papushka this was one of your best threads ujue......thank you again (nina vichane vingi tu vya asante hapa)
Thanks Mamushka! Kama kawaida yetu. Usisahau leo ni Furahidei!

Asante Ama, mbona sijaiona kwenye list ya similar threads, anyway hata kama ipo kama imenigusa si naweza kui-revive?.ukinisaidia link nakugongea thanks digitally.
Hehehe! Hata kama ungeigonga ki-analogue ange-appreciate

sidhani kasema kama ni mpya, hilo ameliweka wazi kuwa alipekua akakuta kuna mtu Alimwaga sifa kwa wanawake lakini bado inamgusa

kwenye red FYI wala haikuwa siku a wanawake.......
Sawa kabisa mamushka! Hiyo siku niliamka na hangover.

Yani kweli nina hubby kichwa kweli.Hii thread uliitunga wewe,juzi ikaibwa ikapelekwa michuzi blog leo tena inalletwa hapa.Kesho usishangae ipo uwazi.
Ngoja niitafute kule ilipo niilete hapa.

Yani sipendi kabisa wizi wa kazi za wasanii.
Thats my hun, I will always love you unajua.

Nimekugongea thanx kule na ninakuongezea nyingine hapa kwa kiswahili ASANTE, kumbe kweli ilishawahi kuwepo hapa, hii nimequote toka michuzi, hongera kwa Xpin kama ni utunzi wake pia na sio wizi wa kazi za wasanii kama unavyofikiri, ndio maana ya Quotation FYI.
Hapo bichwa limenivimba. Leo ntakunywa valuu kwa afya yako!

.....and I SALUTE YOU for the job well done.
Huo ndio uungwana wenyewe sasa. Utakula Senksi hapo.

Wewe ni mwelewa sana. Mie nina tatizo na yule aliyeitoa huku JF na kuipeleka Michuzi blog halafu akaedit heading badala ya Heshima kwa wanawake akaweka salute to women.Kama alikuwa na nia ya kufanya quotation angesema alikoitoa,lakini alijifanya kama ndio yeye aliyeitunga.
Peace and love!
ubarikiwe
Thats my girl!

this show how selfish men are... yani this make me sick...
sorry guys I dont have such heart na hizo sifa mie sizipendi kabisa... honestly why should any woman keep up with all that shit...

and the baby name we both gonna choose.....
Tatizo linaanzia hapa sasa. Kiblurey.... You knoo woram seyying?

So great and touching, but sad that its for these same accolades that women are treated like door mats. Mmh....
Japokuwa Ki-blurey lakini nimekuelewa. Pamoja na hayo yote lakini wanavumilia. Thats why I salute them.

Mwanzisha thread kaenda zoa hii issue kwa Michuzi, akidhani analeta habari mpya hapa. Kumwambia kuwa hii sio mada mpya imekuuma sana, samahani kama nimekukwaza.

Kumbe ilikuwa siku gani ile mrembo?
Hapa naona mwelekeo bifu linataka kuanza.

Theodora thats what I am talking about till when women will accept to be treated like shit and being victims? why Why why? with my due respect to the thread starter but thats not kind of shit we wanna hear... tell us how well u treat ur women so others can learn too.. God Bless you all ...
Dah! Ngoja nikaikonsalti my fevareiti TUKI.

AMA slow down,hatubishani hapa,besides CHARITY alishatoa msaada na tukafunga mjadala.,peace!!
Safi sana. Uungwana huu.

Nakushangaa sana kuanza kutoa vilecture wakati ulienda kukopi kimada ka Michuzi ambacho kilishaletwa humu masiku kibao yaliyopita.

Na kuhusu hilo la kubishana ulitakiwa ulijue kwamba lipo kabla hujaanzisha hii thread.

Usitegemee kwamba niko hapa kukubaliana hata pale pasipo na sababu ya kukubaliana....so just you know.
He! Bado hakijaeleweka?

Hukulazimishwa na yeyote kucomment kwenye hii thread, kama ilishawahi kuwepo na unajua hilo si ungeipotezea tu kama wengine wanaoangalia na kuona hakuna kipya cha kucomment kwa kuwa ilishachangiwa siku za nyuma, you said ilikuwepo nikakuomba link ukatokomea, Charity akasaidia kunionyesha na hatukubishana na mimi nikaweka hiyo link ya michuzi na kumpongeza Xpin ambaye ndiye aliyeibandika wa kwanza humu, please uwe mwelewa mjadala huu tulishaufunga na kutakiana amani hakuna haja ya kulumbana, JF is where we make our days na sio mahali pa kuharibiana siku..peace!!
Kwa kweli mjadala na ufungwe.

Sasa turudi kwenye mada.
Let us all stand up and salute all women!
 
Back
Top Bottom