Salute kwa First Lady?

Huyo afisa uhamiaji wa mkoa anaota ndoto za mchana maana hana kazi ya kufanya hatawajibu wake anmeusahaua kabisa arudishwe hata week 2 tu akapashe kidogo maana wanafuga matumbo tu wanasahau wajibu wao kwa taifa wanabaki kuwa wana siasa wasaidizi sio makamanda!!!ina maana hajui mipaka ya salute na wakuu wa nchi na dola pamoja na katiba?
 
Kwani yeye ndo wa kwanza kupigiwa salute?ameomba hzo salute?she'z nt 2 blame 2laumu mfumo mzima na 2siwe na chuki kwa personality 2pambane na mfumo unao 2peleka huko
Askari Uhamiaji huyo! Hawaivishwi kijeshi. Nitashangaa iwapo hata JW atamsaluti
 
Huyo afisa uhamiaji wa mkoa anaota ndoto za mchana maana hana kazi ya kufanya hatawajibu wake anmeusahaua kabisa arudishwe hata week 2 tu akapashe kidogo maana wanafuga matumbo tu wanasahau wajibu wao kwa taifa wanabaki kuwa wana siasa wasaidizi sio makamanda!!!ina maana hajui mipaka ya salute na wakuu wa nchi na dola pamoja na katiba?

????*?*?????!!!!!!!!!!!
Unajua unachokiandika
 
Back
Top Bottom