Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Superman,
watu wanaweza kushangaa kwamba umeleta mada kama hii humu ndani.Lakini tukifikiria kwa undani nadhani ni vizuri watu wakaelimika kujua ni nini kinaendelea nyuma ya pazia katika huduma nyingi ambazo kwa face value zinaonekana ni za kawaida.

Hizi huduma za usafi maeneo nyeti zimekuwepo kwa muda mrefu.Tena ziko hadi za kupaka relaxer kwenye nywele huko kwa bibi... na inabidi ulipie gharama zaidi.Wanaouziuza ni hao hao wahudumu wa salon.Tukiangalia ni kwanini kuna huduma kama hizo... majibu yako mengi na sihitaji kuyaweka hapa.Huduma kama ya massage pia, ni huduma nzuri lakini kuna mambo ya ajabu yanafanyika nyuma ya pazia.... ninajua massage palour kwenye hotel moja ya kitalii ufukweni mwa bahari DSM, kinachonishangza kupita vyote ni kuwa chumba cha massage ni kiimoja tu na unapata huduma kwa kupiga simu kuweka appointment.Mhudumu ni msichana tena mdogo tu na anapokuhudumia huwa anajifungia ndani na mteja.Wateja wake ni wanawake na wanaume.Pata picha anapojifungia humu ndani na mteja mwanaume kunakuwa na usalama? Jibu sina.Kuna wateja wengine hasa wanaume hupenda kuitisha huduma ya massage kwenye vyumba vya hotel.Nimewahi kuambiwa kuwa hiyo massage mara nyingi inaambatana na mambo mengine kwa gharama zaidi kama mhudumu anaridhia.

Jamani, dunia inaelekea wapi?Watanzania nasi kwa kuiga mambo upesiupesi hatujambo!

Tukija kwenye mada ya Superman,nadhani mwanamke anahitaji kujisetiri hata kama ni kujifanyia usafi.Kuna vifaa mbalimbali vinavyoweza kutumika na mhusika kujifanyia usafi huo bila hata ya kumtumia mtu mwingine.Kuna shaving kits nzuri specifically made for women na zina mpaka special gel ya kukufanya ujihudumie vizuri na kupata matokeo mazuri tu.Ila mwisho wa siku ni uchaguzi wa mtu binafsi.

Mkuu WoS;

Kuna Mr. mpenda kwa bibi aliwahi kwenda kwenye hizo massage na anasema baada ya kupata huduma kuu akaambiwa huduma binfasi ya zaida ni TZS 20,000 zaidi. Jamaa akatoa na kuhudumiwa . . . . baada ya hapo ikawa kama kamchezo . . .

Bdao najiuliza kama kwa maadili yetu kunyolewa saluni ni sawa ama la . . . Ni bora kama spouse wako akikupa hiyo huduma. Ikishindikana basi hata ndugu yako au rafiki yako wa karibu.

bado napiga mahesabu . . .
 
hahahaha no super man siyo kama unamkaliza uchi mwananmke wmenzio huwa sehemu ile ya siri inazibwa.....hahahaha usihofu sana hakuna tatizo kabisa hapo.......alafu kuna style nyingi kama unataka zingolewe zote au unataaka kuweka punk it depends......

Hiyo punk ndio ipi KELLY?
au ndio landing strip?
 
Hiyo punk ndio ipi KELLY?
au ndio landing strip?

hahaha wewe lazima umeshakutana nazo hizo si bure..landind strips gentelemen clubs hizo ndiyo zenyewe.........kuna punk,thug style,bald hata ukitaka za dred lock!...........kuna wengine wameweka locks!....
 
Mdogo wangu Kelly,
taratibu.... usimwage mtama kwenye kuku wengi.
 
hahaha wewe lazima umeshakutana nazo hizo si bure..landind strips gentelemen clubs hizo ndiyo zenyewe.........kuna punk,thug style,bald hata ukitaka za dred lock!...........kuna wengine wameweka locks!....

He makubwa!! Kelly, seems you are well informed sister! kila sekta upo na una fact! au wewe ni CIA wa kibongo?
 
He makubwa!! Kelly, seems you are well informed sister! kila sekta upo na una fact! au wewe ni CIA wa kibongo?

mmh wee unataka kunichokaza ili niendeleze libeneke...hahaha hunipati i respect my sister WOS!....And i promise her kuwa i am going to stop!.....she is my big sister! and i have to listen to her......pole weeeh OB!
 
kelly acha hizo, si wengine tulikuwa tunakula kashule kazuri na tulikuwa kwenye mikakati ya kuzitafuta hizo nyumba za kunyolea na za kukandwa
 
Jamani, dunia inaelekea wapi?Watanzania nasi kwa kuiga mambo upesiupesi hatujambo!
Hapo ndio pa kukomelewa........sishangai kama wengine wanakuambia wana matattoo ma5 mwilini ati ni fasheni aiiishi fasheni gani bana?
....vitu vingine kama hivi nikivisikia naoana aibu kweri kweri......pigeni picha mwanamama/mwanababa anatoka kwake Kimara kiguu na njia mpaka Mikocheni kunyolewa nywele huko....uuwiiiiii
 
Kelly!!! mbona Umeivalia kibwewe hii mada,vipi inakugusa kwanjia moja au nyingine nini dada ?kwani aisifiyae mvuwa huwa imemnyeshea.
 
Hahaha, kweli utandawazi unakuja kwa kasi Tanzania.

Kelly01 hahaha umeniacha hoi eti landing strip, mambo ya kuweka kipini kwenye hood (another topic/subject).
 
Aksante mamii wangu kwa elimu hii kweli siku hizi kila kitu kwa teke linalokujia.... haya mama tuhabarishe!

Usikubali kuadopt hiyo teknolojia...kwangu sasa kama inabidi kupeleka kidude saluni, nashindwa kuelewa kimebaki nini kabla ya kujipeleka kuogeshwa...nadhani ni uzuri ukakihudumia mwenyewe au bamsap kama ulivosema apo juu..
 
Kweli maneno yako, lakini najiuliza Brazilian wax halafu uweke punky, napomba kujuzwa hii sayanzi mpya
 
Siku zote nimekuwa nikijiuliza kusagana chanzo chake nini?ni tamaa iliyokithiri?au nini?Ushoga unaanzia wapi!!

Kumbe kama tumefikia kuwa wazi kumvulia mtu sehemu nyeti na ya heshima kwa wale wanaotambua ndoa maana yake nini kwa mtu mwingine usiyemjua hii ni hatari kubwa sana.

Kwa kweli Kelly siwezi kukwambia kuwa hiyo ni elimu ila nikitu cha kupingwa kama ukeketaji?

Ni aibu na desturi za mbantu yeyote kumvulia mtu sehemu yake ya siri kama hawana mahusiano ya kindoa eti namnyoa au Globalization ya Mzee Mkapa imefika huko hata kunyowana huko chini eti mnaita bikini wax au brazillian jamani hata wabrazilli tunawaiga kwa ujinga huu.

Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Tanzaniaaaaaaaaaaaaaa
 
Usikubali kuadopt hiyo teknolojia...kwangu sasa kama inabidi kupeleka kidude saluni, nashindwa kuelewa kimebaki nini kabla ya kujipeleka kuogeshwa...nadhani ni uzuri ukakihudumia mwenyewe au bamsap kama ulivosema apo juu..

Keizer hebu punguza mashaka alokwambia mie naadopt nani? Nimesema life style nyingine zinipitege tu!! Hizi siziwezi huyo bamsap mwenyewe kumkalia utupu napata tabu itakuwa mtu baki!?

Mh nehi hapana kwa kweli nawaachia watoto wa dot com
 
Siku zote nimekuwa nikijiuliza kusagana chanzo chake nini?ni tamaa iliyokithiri?au nini?Ushoga unaanzia wapi!!

Kumbe kama tumefikia kuwa wazi kumvulia mtu sehemu nyeti na ya heshima kwa wale wanaotambua ndoa maana yake nini kwa mtu mwingine usiyemjua hii ni hatari kubwa sana.

Kwa kweli Kelly siwezi kukwambia kuwa hiyo ni elimu ila nikitu cha kupingwa kama ukeketaji?

Ni aibu na desturi za mbantu yeyote kumvulia mtu sehemu yake ya siri kama hawana mahusiano ya kindoa eti namnyoa au Globalization ya Mzee Mkapa imefika huko hata kunyowana huko chini eti mnaita bikini wax au brazillian jamani hata wabrazilli tunawaiga kwa ujinga huu.

Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Tanzaniaaaaaaaaaaaaaa
Chaku si kusagana tu hata ushoga maana na hushangai wewe dume zina lenye akili zake likachezee mdudu wa mwenzio kisa nini kama si kuhamasishana.

Inawezekana hata wanaotoa huduma hii kwa wababa wakiwa wa kiume lazima watakuwa mashoga tu! A straight guy aende kushika jicho na bakora ya mwanaume mwenzie anataka nini kama si kumkaribisha shetani nyumbani pasipo kwake!
 
Back
Top Bottom