Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Kelly sweetie, one more question before I go, hii huduma kwani ni kwa kinamama tu au hata kina baba wanapatiwa wakitaka? na je kwa akina mama nani anawahudumia wanawake wenzao au kina kaka na kwa kina baba je nani anawapaka na kutoa hiyo Brazilian wax? Ndo hicho kinaitwaga waxing au ni kingine? Yaani sie wa Nanjilinji tunapitwa na mengi!
 
MJ my dear hata akina baba pia wapo wanaofanya hii brazilian wax ila sijui about huko chini kwao ila kuna wengine wanafanya wax kutoa nywele za usoni, au nywele za kifuani....hii kazi ina depend hata mwanamke anaweza kummfanyia mwanamke mwenzake...kama nilivyosema before its business wale watu wapo kazini na wala hakuna matamanio au sijui kukupapasa na vitu kama hivyo....so far i will recommend you to go and try ila kama ni mara yako ya kwanaza be prepared inauma sana na wala siyo kidogo.....take painkiller kabla hujaenda.....
 
mj my dear hata akina baba pia wapo wanaofanya hii brazilian wax ila sijui about huko chini kwao ila kuna wengine wanafanya wax kutoa nywele za usoni, au nywele za kifuani....hii kazi ina depend hata mwanamke anaweza kummfanyia mwanamke mwenzake...kama nilivyosema before its business wale watu wapo kazini na wala hakuna matamanio au sijui kukupapasa na vitu kama hivyo....so far i will recommend you to go and try ila kama ni mara yako ya kwanaza be prepared inauma sana na wala siyo kidogo.....take painkiller kabla hujaenda.....

seems so expert una toa hii huduma nini??
 
MJ my dear hata akina baba pia wapo wanaofanya hii brazilian wax ila sijui about huko chini kwao ila kuna wengine wanafanya wax kutoa nywele za usoni, au nywele za kifuani....hii kazi ina depend hata mwanamke anaweza kummfanyia mwanamke mwenzake...kama nilivyosema before its business wale watu wapo kazini na wala hakuna matamanio au sijui kukupapasa na vitu kama hivyo....so far i will recommend you to go and try ila kama ni mara yako ya kwanaza be prepared inauma sana na wala siyo kidogo.....take painkiller kabla hujaenda.....

Thanx dia but ushanambia inauma mh nitabakia kusoma tu hapa kwako. Mimi muoga sana mpenzi wangu.

Nimeuliza kwani sipati picha mbaba amekaa kaichanua miguu mwenzie anampaka sijui nini mh hawachunguliani? makubwa haya bye.
 
hahahahah MJ umenifurahisha sana!....Haya bye!.....i think gay guy wanaweza wakawa wanafanya huko chini ila straight guy na akili zake i doubted....
 
i doubt kama kuelezea kitu ni kuwa expert....but all i can say i have been doing brazilian wax for years so i know the deal.....

kELLY I appreciate ya man....the definition of expert ...An expert is someone widely recognized as a reliable source of or skill whose faculty for judging or deciding rightly, justly, or wisely is ...
 
hahahahah MJ umenifurahisha sana!....Haya bye!.....i think gay guy wanaweza wakawa wanafanya huko chini ila straight guy na akili zake i doubted....

Eti eeh?! Phweee afadhali maana nlishaanza kupiga picha Mr. akiwa kajiachia kwa nafasi oh !! haya mama na once again aksant ekwa knowledge ya maisha ya usasa.
 
Ndio ni huduma kama zilivyohuduma zingine. nakama akitaka zisiote vipele wanaweza kutumia hata uzi badala ya wembe au mashine nyingine.

Na huyo "my wife wake" yeye alikuwa na hiari ya kuhitaji hiyo huduma au la!

Mkuu;

Mamaa alienda kwa huduma zingine za kawaida, akapewa introduction ya hiyo huduma mpya kisha akakubali kuhudumiwa.
 
Msije shindwa kushangaa tu pale mapicha yenu yakakutwa kwenye magazeti ya udaku...! Na kichwa cha habari kikuuubwaaa...!

"Superman with 2inch wand"

Mkuu;

We acha tu . . .

I saw the "Return of Superman"

Lakini hii itakuwa kama "The Return of Ze Utamu" lakini katika magazeti
 
Eti eeh?! Phweee afadhali maana nlishaanza kupiga picha Mr. akiwa kajiachia kwa nafasi oh !! haya mama na once again aksant ekwa knowledge ya maisha ya usasa.

si unajua gay guy wanatabia kama za kike hivi.........so wao wanashave mpaka miguu na mikono na nyusi pia .......kama siye wanawake tunavyofanya....its very interesting to see them na wako so clean wale watu....i like them actual i have few gays friends they are so lovelye and have sense of humor......
 
Kitu ambacho najiuliza . . .

Kwa Nchi kama yetu ambayo "Professionalism" wakati mwingine si kipaumbele katika kazi . . . . Si hatari kuwa mwanzo wa maovu mengine ndani ya Saluni.

Hii shughuli inahitaji Privacy . . . Sasa itakuwa vipi kama Mamaaa akipelekeshwa na kuhadaliwa na wazoefi kisha akaingia mkenge?
 
wasiwasi wangu ni pale huduma hiyo itapotolewa kwa mteja baba na mhudumu baba,wateja wengine wana nywele hadi makalioni sasa mhudumu anapotaka kumuhudumia hapo katikati ya makalio itakuwaje?Jamani hacheni kuiga uzungu mtatuletea sodoma na gomola!
 
Thanx dia but ushanambia inauma mh nitabakia kusoma tu hapa kwako. Mimi muoga sana mpenzi wangu.

Nimeuliza kwani sipati picha mbaba amekaa kaichanua miguu mwenzie anampaka sijui nini mh hawachunguliani? makubwa haya bye.

Ha haaaaaa,hakika kweli hii ni kali,yaani umenifanya nicheke mpaka basi,embu chukulia JIBABA lenyewe liwe na kitambi hivi duu,,,,halafu linaugulia ashiiiiiiii!!!!!,kijamaa kinamwambia mzee vumilia kidogo tunamaliza sasa hivi,bado hapa kwenye kona kona hizi karibu na JICHO,,,,aaah !!!
 
Nakwambia King ukistaajabu ya Musa........... acha tu ndugu yangu. Lifestyle nyingine acha tu zinipite mwaya ah!!
 
si unajua gay guy wanatabia kama za kike hivi.........so wao wanashave mpaka miguu na mikono na nyusi pia .......kama siye wanawake tunavyofanya....its very interesting to see them na wako so clean wale watu....i like them actual i have few gays friends they are so lovelye and have sense of humor......

Kweli Kelly eh? Mimi sijabahatika kukutana na walio wawazi kiasi hiki si unajua tena huku kwetu bongo wa gay wanaojulikana wamekaa kibiashara zaidi so hata mkikutana yeye anawaza kukupora tu ulonaye so mahusiano yanakuwa ya kiukewenza ukewenza hivi chuki na mashauo so huwezikupata nafasi ya kujua kama wako lovely and have sense of humor kama wa huko kwenu ( I guess uko kwa 'weupe' mama au siyo)?
 
wasiwasi wangu ni pale huduma hiyo itapotolewa kwa mteja baba na mhudumu baba,wateja wengine wana nywele hadi makalioni sasa mhudumu anapotaka kumuhudumia hapo katikati ya makalio itakuwaje?Jamani hacheni kuiga uzungu mtatuletea sodoma na gomola!
Mhudumu anakuwa dada, problem solve! Ila sijawahi kusikia mwanaume anapata bikini wax kusema kweli, labda ya mgongo, kifua etc.
 
Kitu ambacho najiuliza . . .

Kwa Nchi kama yetu ambayo "Professionalism" wakati mwingine si kipaumbele katika kazi . . . . Si hatari kuwa mwanzo wa maovu mengine ndani ya Saluni.

Hii shughuli inahitaji Privacy . . . Sasa itakuwa vipi kama Mamaaa akipelekeshwa na kuhadaliwa na wazoefi kisha akaingia mkenge?

Superman,
watu wanaweza kushangaa kwamba umeleta mada kama hii humu ndani.Lakini tukifikiria kwa undani nadhani ni vizuri watu wakaelimika kujua ni nini kinaendelea nyuma ya pazia katika huduma nyingi ambazo kwa face value zinaonekana ni za kawaida.
Hizi huduma za usafi maeneo nyeti zimekuwepo kwa muda mrefu.Tena ziko hadi za kupaka relaxer kwenye nywele huko kwa bibi... na inabidi ulipie gharama zaidi.Wanaouziuza ni hao hao wahudumu wa salon.Tukiangalia ni kwanini kuna huduma kama hizo... majibu yako mengi na sihitaji kuyaweka hapa.Huduma kama ya massage pia, ni huduma nzuri lakini kuna mambo ya ajabu yanafanyika nyuma ya pazia.... ninajua massage palour kwenye hotel moja ya kitalii ufukweni mwa bahari DSM, kinachonishangza kupita vyote ni kuwa chumba cha massage ni kiimoja tu na unapata huduma kwa kupiga simu kuweka appointment.Mhudumu ni msichana tena mdogo tu na anapokuhudumia huwa anajifungia ndani na mteja.Wateja wake ni wanawake na wanaume.Pata picha anapojifungia humu ndani na mteja mwanaume kunakuwa na usalama? Jibu sina.Kuna wateja wengine hasa wanaume hupenda kuitisha huduma ya massage kwenye vyumba vya hotel.Nimewahi kuambiwa kuwa hiyo massage mara nyingi inaambatana na mambo mengine kwa gharama zaidi kama mhudumu anaridhia.
Jamani, dunia inaelekea wapi?Watanzania nasi kwa kuiga mambo upesiupesi hatujambo!
Tukija kwenye mada ya Superman,nadhani mwanamke anahitaji kujisetiri hata kama ni kujifanyia usafi.Kuna vifaa mbalimbali vinavyoweza kutumika na mhusika kujifanyia usafi huo bila hata ya kumtumia mtu mwingine.Kuna shaving kits nzuri specifically made for women na zina mpaka special gel ya kukufanya ujihudumie vizuri na kupata matokeo mazuri tu.Ila mwisho wa siku ni uchaguzi wa mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom