Salma kikwete na mafuta ya Papa!

Kama ni kweli, halafu ndiyo tradition yao mimi nampa kudos.Anaweza kusema hajafanya Ikulu imleweshe na kumfanya asahau traditions zao.

However eyebrow raising the tradition is.
 
Asalamu alaykum.

Hakuna aliyepiga picha huko maana siku hizi watu wanatumia simu zao kwa kupiga picha za aina hizo ili kutoa ushahidi au kujenga hoja.

Siku hizi kuna watu wanaoalikwa harusi huchukua simu zao kupiga picha wana harusi hata kama hawajahusiana nao ilimradi ni umbea na udaku tu kwa hivyo nina wasi wasi mkubwa kama hao watu wamemuona mama salma basi wana picha yake akiwa ameinama akichota hayo mafuta

Kwa upande wangu sina shaka ya suala hilo kwani mafuta ya viumbe kama hao mara nyingi hutumiwa kama dawa za mishipa na mambo mengi tu lakini ivyo wasaidizi wake walikuwa wapi hata asiwatume, anaogopa nini hata aende kuchota saa nane za usiku au hivyo yeye mwenda kama kuangalia tu huyo kiumbe ni makosa maana inawezekana amekwenda kumtembelea tu na pengine wala sio saa nane za usiku lakini binaadamu tena hakosi la kusema .

lakini kubwa zaidikuliko lote wachawi hukutana uchawini bila ya shaka yoyote aliyemkuta mama salma akienda huko naye alikuwa katika mazingira hayo hayo

thanks.
stonetowner
 
Kuna mtu kanidokezea kwamba mama yetu wa kwanza naye alijitosa usiku mrefu ufukweni mwa bahari ili kujipatia mafuta ya yule papa aliyefia ufukweni wiki ilopita. Inasemekana ni dawa nzuri kwao!!!! Hii nayo imekaaje jamani?

Msongora;

Mama Kikwete Kakukosea nini? Umeanzisha two threads kwa ajili yake... are we missing something?

na kama ni kweli then naona hao watu waliopewa jukumu la kumtunza mama wamefeli na wajiangalie mno kwani kwa mtindo huu wa taarifa kuvuja, hata usalama wake si bora sana.

We have more burning things than huyu mama wa watu
 
Hii taarifa ni ya kijinga,sorry to say this!

Naungana na wewe mkuu. Hii si issue ya kutumia akili nzuri za WanaJF kuijadili. For sure huyu mama hajaenda kuchukua mafuta ya papa. Semeni lingine.

Hapa jamvini tunaheshimu demokrasia ya postings lakini pia tuwe makini na postings za kizushi ambazo hazisaidii jamii. Ikumbukwe kuwa hapa jamvini tuna discuss issues ambazo zinailenga jamii, ni kama kioo au dira ya mawazo ambayo ni macro kwa nchi hii na watu wake na si micro issues ambazo hazina faida kwa jamii. Ndiyo maana nawapongeza waanzilishi walioibatiza JAMII FORUM. Big up the founders of this forum where "think tanks" meet.
 
Huenda sharti la kufanikiwa ni wewe mwenyewe kwenda kuchukua hayo mafuta bila kumtuma mtu, mmesahau masharti ya akina waganga wa kienyeji? Kama salma ana huu mchezo mchafu atatutia aibu
 
Hii ni aibu kwa wana JF. Jamani kama Msongoru hana uthibitisho na hili, hana budi kuomba samahani. Hivi Salma ana nini na wewe Msongoru.
I can say this is another rubbish from Msongoru,,,, sorry for that!
 
Back
Top Bottom