Elections 2010 Salma Kikwete, Makamba na Malisa washindwa kuokoa jahazi Bukombe

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Katika hali inayoonyesha CCM kuzidiwa nguvu kulitetea jimbo la Bukombe linalowaniwa na mbunge anayemaliza muda wa Mm.Emma Luhahula anaonekana kuzidiwa nguvu na mgombea wa CHADEMA Prof.Kulikoyela Kahigi (kulikoyela- kwa lugha ya kisukuma ni sehemu ya mapambano).
Viongozi wa juu wa CCM wamekuwa wakienda japo kujaribu kuokoa jahazi bila mafanikio, kwa sasa inasemekana hata kamati kuu ya CCM imepewa taatifa za ugumu wa jimbo hilo na kwamba Makamba,salma na Malisa kwa nyakati tofauti wamejaribu bila mafanikio baada YA UONGOZI WA CCM mkoa shinyanga kutundika njumu kwa kusalimu amri.
Lakini kabla ya hawa vigogo, mkuu wa chama hicho rais kikwete alitamkiwa na wasukuma wale kwa kupaza sauti za kuziba masikio"Hatumchugui mgombea huyo wa CCM na wakatamka wazi chaguo lao ni KAHIGI WACHADEMA" wakafunga ukurasa kwa kikwete.
ingawaje baada ya hayo kikwete alimuagiza m/kti wa ccm mkoa SHINYANGA bwana Mgeja kubaki Bukombe hadi kieleweke bado hakikueleweka ndipo Makamba,salma na Malisa wakajitosa bila mafanikio.

Inasemekana jana Zitto kabwe kachafua tena zaidi hali ya hewa ya Bukombe huku ikitarajiwa 16/10/2010 mkuu wa nchi mtarajiwa anashuka na nondo za mwisho mwisho kwa wapiga kura wa Bukombe.Hapo patamu wapenda mabadiliko ya kweli



chagua chademaaaaa

 
si waliachie tu hilo jimbo? wanamaliza hela zetu bure kung'ang'ania kitu ambacho hakiwezekani. hizo hela watumie kwenye majimbo mengine waliyo na matumaini nayo
 
si waliachie tu hilo jimbo? wanamaliza hela zetu bure kung'ang'ania kitu ambacho hakiwezekani. hizo hela watumie kwenye majimbo mengine waliyo na matumaini nayo

Dahhh umenichekesha san a kwa comment zako..yaani gnome mbichi wao wanakazana tu
 
Heri kwani shy nako sasa kutakuwa pengine gumzo kama Tarime. Huo ndo uzalendo. Siyo mtu unapewa tu kanga au shati na kofia unauza haki yako. Hongereni watu wa Bukombe
 
Dahhh umenichekesha san a kwa comment zako..yaani gnome mbichi wao wanakazana tu

masaa haya inabidi msosi uwe unakaribia kuiva angalau ndo unaweza kuwa na matumaini. eti watu ndo kwanza wanatumwa wakaokote kuni muda huu! wanataka kula mchele wa kuloweka au wali?
mambo mengine siyo ya kulazimisha jamani
 
Dr Slaa Bukombe 16/10/2010 - Ukanda wa Pwani hataki kura zao, maana tokea kampeni zianze Tanga, Pwani, DSM, Lindi, Mtwara Slaa hajagusa kabisa hiyo mikoa
 
Back
Top Bottom