Salma kikwete ana hisa kwenye shule ya kituruki Dar es Salaam

realtanza

Member
Oct 21, 2011
6
1
Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
 
Kigogo au ndugu ya kigogo anapomiliki hisa kwenye kampuni au shirika hasa kwa nchi yetu ni mazingira yanaandaliwa ya au kukwepa kodi au kukwepa taratibu zingine!!!! wake up!!
 
Kuna sheria yoyote inayomkataza kuwa na hisa ktk taasisi yoyote?.
 
Kuna sheria yoyote inayomkataza kuwa na hisa ktk taasisi yoyote?.

Hofu ya watanzania ni kwamba kutakuwa na undue influence ya first lady katika kupata kibali cha kujenga hiyo shule kitu ambacho sio sawa. Nadhani umenielewa sasa. Kama unavyojua kwa sasa firstlady/firstboy wote wanahadhi sawa na rais wetu na ndio maana wakisema wanataka kiwanja fulani hatakama sheria hairuhusu watapewa tu! si umesikia yaliyotokea Mwanza ya riz1 na Dodoma ya S.K Foundation haya yote ni ukiukwaji ya sheria kwa jina la rais.
 
watu wangapi wanamiliki ardhi kitapeli, hao nao ni wake na watoto wa raisi!.
 
Mzee umezeeka kama hata hili hulielewi na hutaki kuelewa basi hhuenda dhambi za mafisadi zimekudhuru.
 
Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
Du kama hili lina ukweli naanza kupata majibu ya maswali niliyokuwa najiuliza nilipomuona mume wake kwenye mahafali ya Feza Secondary.
 
Kwani ni haramu yeye au mwengine kuwa na hisa. Hata mimi na wewe kama tuna pesa tujiunge tufungue yetu shule. Ama nunua hisa precision air. Tuwache kuwa wanafiki mwenzio akipata lawama tele.
 
Kigogo au ndugu ya kigogo anapomiliki hisa kwenye kampuni au shirika hasa kwa nchi yetu ni mazingira yanaandaliwa ya au kukwepa kodi au kukwepa taratibu zingine!!!! wake up!!
Ni vema kuwa na wasi wasi huo na kuufanyia kazi ili kuthibitisha hisia. lakini kuanza kutuhumu watu bila ya kuwa na ushahidi, si jambo zuri
 
Michelle Obama, the America's first lady is a shareholder of Chicago Bulls Club and America has never raised this kind of criticism.
 
watu wengine ni aibu kuwepo JF

Hisa kwenye shule unafikiri kitu kubwa sana ...

Shule kila mtu anaweza kujenga acha umbea..
 
watu wengine ni aibu kuwepo JF

Hisa kwenye shule unafikiri kitu kubwa sana ...

Shule kila mtu anaweza kujenga acha umbea..

hizo hisa ndo zinasababisha mtaala wa elimu ya watanzania kuachwa ijichunge kama kuku wa kienyeji, na hizo shule zao kuwa na elimu ya ubora tofauti. HAWAANGALII UBORA WA ELIMU YA KAYUMBA, Kwa kuwa nawe unakipaji cha uji.nga endelea kushabikia upum.b.avu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom