Elections 2010 Salma atoa picha halisi ya CCM

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
Ukitaka kujua mambo yanavyokwenda ndani ya CCM, msikilize mama Salma, kwa jinsi asivyokuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo basi ya ndani yanatoka nje. CCM kumtumia Salma ni sawa na mwananke kwenda sokoni na nguo nyeupe ya kulalia!

Kwenye TanzaniaDaima 22/09/2010 anasema Mwantumu Mahiza amekosa nafasi ya kugombea ubunge kwa sababu ya majungu ya wanawake wenzake, sasa hii si inaonesha CCM hawafuati demokrasia bali majungu. Pili, anaji-contradict kwa kusema Mwantumu akuchaguliwa kuwa Naibu Waziri wa elimu kwa kufuata jinsia yake bali ni uhodari na uchapakazi wake, halafu anasema wanawake kukosa nafasi za uongozi 50/50 bungeni itakuwa ndoto. Sasa je, tunataka bungeni jinsia au uchapaji kazi? Je, Mahiza aliteuliwa kuwa waziri kujaza 50% ya wanawake au uchapaji kazi wake? Je, UWT imekuwa WAMA Foundation?
 
Let them wash their dirty linen in public; that is what these vihiyos deserve!!!
 
kwa hakika kwa matendo ya mama salma ambayo sasa yanaanza kuoverlap mamlaka ya JK ni wazi sasa bosi wao ROSTAM ataanza kuchukia.
 
Igonore her. She don't know what she is doing. I am sorry for this primary school teacher. Halafu eti mnashangaa kwa nini kiwango cha elimu ya watoto wetu inashuka!!!!!! Kama hawa ndo walimu mnategemea nini??
 
[size=+0]ukishaona wanaume wanaanza kuzozana na kufuatilia mambo wanayozungumza wanawake basi ujuwe wanaume hawa wanatatizo fulani! Labda umbeya umbeya, hivi sijui ni waiteje[/size]!
 
she is too low to be a topic in men's meeting..... mwalimu Salma Kikwete..mwalimu wa kiswahili darasa la tano ei.... pia alikuwa anauza ubuyu na pipi darasani kwetu....namfehemu vizuriii sanaa... sasa anapokuja kuwa mke wa raisi ndipo napata picha "serikali inavyokuwa kimeo"... ni maoni tu
 
Back
Top Bottom